Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wakuu baada ya kujitafakari kwa kina kwa kipindi kirefu Mimi Wakusoma 12 kwa kushawishiwa na vipaumbele vya awamu ya SITA na kwa namna maendeleo hasa kwenye sekta za elemu na afya nimeamua kujiunga na chama Cha mapinduzi. Sababu zilizonifanya Mimi ambaye nilikuwa radical kwenye maswala ya kisiasa hasa siasa za upinzani ni hizi hapa:
1. Uimarishwaji wa sekta ya kilimo pamoja na kuipromoti sekta hiyo muhimu katika kuleta maendeleo kwa wananchi.
2. Uimarishwaji wa sekta za elimu na afya kwa kuwepo kwa madarasa na vitu vya afya nchi nzima.
3. Upatikanaji wa miundombinu ya barabara, relief pamoja na upatikanaji wa maji kwa watanzania waishio vijijini jambo ambalo miaka ya nyuma lilikuwa ni ndoto.
4. Upatikanaji wa umeme wa uhakika hii ni baada ya awamu hii ya SITA kukamilisha kwa asilimia kubwa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere.
Kwa uchache tu hayo ndiyo yamenisukuma kukubaliana na awamu hii ya SITA.