GabiGabriel_gg
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 166
- 243
🤣🤣🤣
Umeniwahi, nilitaka nimwambie classmate kuwa hafanani na nyuzi za namna hii.Platinum member bado una hoja za kitoto,uko humu zaidi ya 20 years bado unashindwa kuutendea haki uplatnum member wako.
Platinum member alijejiunga na Jf 2012,
bado anaishi getto, itoshe kusema wewe ni mtu wa hovyo kabisa.
Nilitegemea uwe na familia na uwe baba wa kuwalekeza Genz,you behave like under 18 boys
You are a good for nothing Man
Uko kimya sana mkuu, au ndio masharti ya yule mganga wa Chumbe?Dogo anazingua 😆😆
Nipo mkuuUko kimya sana mkuu, au ndio masharti ya yule mganga wa Chumbe?
Mambo ya DSTVNipo mkuu
DSTV mnaifaidi Mabwanyenye kama wewe mkuu,mimi kabwela huwa naichungulia kwa wadau tu kwa mbaaaaaliiiiii!Mambo ya DSTV
Heri umwambie. Sikuhizi jamiiforums sijui imekuaje aiseePlatinum member bado una hoja za kitoto,uko humu zaidi ya 20 years bado unashindwa kuutendea haki uplatnum member wako.
Platinum member alijejiunga na Jf 2012,
bado anaishi getto, itoshe kusema wewe ni mtu wa hovyo kabisa.
Nilitegemea uwe na familia na uwe baba wa kuwalekeza Genz,you behave like under 18 boys
You are a good for nothing Man
Kamuulize Mzee wa Upako. Ana sermons nzima kuhusu hili suala!Kumwagika damu? Ni mauaji? Nani alisema bikra zote zinamwaga damu?
Sawa pastor tony utanipa connection nikamuulize!Kamuulize Mzee wa Upako. Ana sermons nzima kuhusu hili suala!
Sawa Mtumishi mwema!🙏🏿🙏🏿🙏🏿Sawa pastor tony utanipa connection nikamuulize!
Mambo yao waachie wenyewe