Nimeamua kuwa cheater

Nimeamua kuwa cheater

Getruda

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
16
Reaction score
4
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

--------------
Updates
Nilitafakari ushauri mlionipatia nikaamua kufanya maamuzi ya kuachana na na kuwa cheater. Niliamua kuokoka hadi sasa.
Bwana Mungu awabariki.
 
Yeah ni uamuzi mzuri wa kujichimbia kaburi mwenyewe. Wapo wengi na virus vyao wanakusubiri. Trust me Condom siku ya kwanza ukijitahidi sana siku tatu baada ya hapo mwendo mdundo.

Uhuru wako cheat kabisa mpaka iote sugu.
 
Kwani unatumikisha mwili wa nani??

Na anayelipia bili ya repair ni nani?

Yaani matendo ya mtu mwingine yanabadili vission yako au unachoamini?

Cheat because you feel like doing it lakini si watu wengine wamekupush kufanya hivyo.

Uchitiji Mwema!
 
Kwahiyo unatoa taarifa ili upate washiriki au. . . . ?
 
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

wanadamu hao hao unaowaletea uchui ndo watakuweka ardhini. Hi dunia si mchezo. Ushaliona tatizo. Jiondoe kwenye huo mchezo hata kama wanadamu watasema. Tambua kwamba wanadamu wa ulimwengu huu wa sasa wenye matundu lukuki hawana dogo. Ukisema unamwanamke mmoja wanakusema vibaya kwamba wewe siyo mwanaume wa kweli, ukiwa na wengi wanasema, ukisema hutaki wanawake wanasema, ukiwa na ngwengwe ndo duh! watasema weeeee, ukifa ndo kwanza wanaanza kukusema sawa sawa. Oh! Alikuwa hivi, oh! Alikuwa vile. Yaani binadamu bwana.
 
Join the club mama,
This world is nobody's.
Wasikuogopeshe kuwa utaukwaa, mara condom haziaminiki!
Nani yuko na guarantee/insurance ya kuishi hadi mwezi ujao kwa kuanzia?
Maisha ni haya unayoishi leo.
Be happy dada,
Why not?
 
WHO TOP TEN CAUSES OF DEATHS
[TABLE="class: tableData"]
[TR]
[TD]Low-income countries[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]Deaths in millions[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]% of deaths[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lower respiratory infections[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]1.05[/TD]
[TD="class: RightAlign"]11.3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Diarrhoeal diseases[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.76[/TD]
[TD="class: RightAlign"]8.2%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]HIV/AIDS[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.72[/TD]
[TD="class: RightAlign"]7.8%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ischaemic heart disease[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.57[/TD]
[TD="class: RightAlign"]6.1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Malaria[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.48[/TD]
[TD="class: RightAlign"]5.2%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Stroke and other cerebrovascular disease[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.45[/TD]
[TD="class: RightAlign"]4.9%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tuberculosis[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.40[/TD]
[TD="class: RightAlign"]4.3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prematurity and low birth weight[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.30[/TD]
[TD="class: RightAlign"]3.2%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Birth asphyxia and birth trauma[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.27[/TD]
[TD="class: RightAlign"]2.9%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Neonatal infections[/TD]
[TD="class: CenterAlign"]0.24[/TD]
[TD="class: RightAlign"]2.6%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Namuunga mkono kucharaza ila sababu yake ya kucharaza siiungi mkono.

what!
Are you aware of the kind of the world in which we are living?

The world is trying to tell people especially youths that in ones life SEX, CELEBRITY and MONEY is every thing. This is there inside the New World Order which is under the implementation of ILUMINATIES!!! They don't want to see BLACK people as far as they believe that WHITES are SUPERIOR over BLACK peopld. We need to change. We need to create a mind that SEX, CELEBRITY and WEALTH is nothing in ones LIFE.

Although we need to struggle for better life but we need something else. To live according to God's WILLS.

Bro you better marry.
 
There are countless ways to die.
Bodaboda na kurogwa to mention few.
Huwezi ogopa kuplan kisa kifo kipo!
 
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

all the best in your new and exciting endeavor
 
Kufa kufa tu, usipokufa kwa ngoma utakufa kwa malaria au kwa chanzo kingine..... la muhimu ni kuplay safe!
lakini pia nyie mnaojifanya wasafi mnajali ndo huwa mnakufa kwa unafiki wenu kwani huwa gizani mnayoyafanya mnayajua wenyewe.
 
Back
Top Bottom