Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.
--------------
Updates
Nilitafakari ushauri mlionipatia nikaamua kufanya maamuzi ya kuachana na na kuwa cheater. Niliamua kuokoka hadi sasa.
Bwana Mungu awabariki.
--------------
Updates
Nilitafakari ushauri mlionipatia nikaamua kufanya maamuzi ya kuachana na na kuwa cheater. Niliamua kuokoka hadi sasa.
Bwana Mungu awabariki.