Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Sasa nini anataka. . . . PM?Kutongozwa?
Kwani dunia yooote hajawaona wanaume aje huku JF ambako kuna vivuli vya watu?? watu wengine bwana
Sasa nini anataka. . . . PM?Kutongozwa?
Dunia yoooote hamna sehemu za kuweka tangazo mpaka JF?
sorry to say lakini nyie commenters karibu wote hapo juu you all are soooo mean mean mean,,,,, READ BETWEEN LINES of what this person is saying!!!!!!!
Ingawaje ameelezea nia ya kutaka kuwa cheater its not really that what this person wants in her heart... she is soo broken and she is trying to find a way to reach to someone who would understand her and amsaidie,,, she has been bitterly broken na ndo maana anaona kuamua kucheat ni solution,,
Getruda cheating is never a good option lakini ukijikuta umefanya hivyo by accident i wont blame u,, ila sio kitu cha kuplan kufanya,,, halafu are u planning to be a cheater as u already have a man u want to cheat him au u want to become a player?? either way sio option nzuri,,, na ni kwasababu hautakua unamkomoa yule unayemchezea NOO but utakua unajikomoa mwenyewe na nafsi yako and U WILL NEVER GET the satisfaction ya huko Kucheat,, becareful lady... cheers!!
JF ni sehemu mojawapo anayoweza kuweka tangazo, ukiona tangazo linakukwaza just potezea coz ni maisha ake binafsi
JF ni sehemu mojawapo mtu kutumiwa PM na kutongozwa. . . ukiona inakuuma unaweza kupotezea.
Sasa kama ulijua hvo kwanini uliwashwa kuona tangazo hapa?? mimi sikuwashwa kama lilivyokuwasha wewe, that's why nkakujulisha tu kwamba tangazo lake lipo nahali sahihi! kitu ushaona kinakukwaza upotezee tu bi dada, JF ni ya wote wapya na wazamani eeh, hakuna ambaye ni tbs ya kuchuja tangazo gani la mahusiano liwekwe hapa au lisiwekwe....... kwa leo naishia hapa!!
Getruda mwaya jiskie kuweka tangazo lako popote pale ujisikiapo, iwe JF, Facebook, Twitter, Bongoline na kwingineko, hugombwi.
We nawe kichwa maji kweli. . .
Wapi niliposema asitangaze?
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.