Nimeamua kuwa cheater

Nimeamua kuwa cheater

Unapofanya jambo kwa sababu ya watu wengine unatakiwa uwe mwehu kidogo!
 
they say people dont change...you just didnt know them well before....so sio kwamba umeamua kuwa cheater, you were always a cheater sema tu ulikuwa hujajidhihirisha. usisingizie kutendwa ndio kubadili tabia yako!
 
Nimeshindwa kabisa kukuelewa, Kutokua cheater ni hulka ya mtu kutegemeana na maadili ama ni kutenda wema? Unapo cheat unamkomesha mwenzio au unajishushia thamani mwenyewe hasa ukizingatia ni mwanamke? Kuwa mwaminifu sio kutenda wema, ni ile tu kujiheshimu mwenyewe na nafsi yako.
 
sorry to say lakini nyie commenters karibu wote hapo juu you all are soooo mean mean mean,,,,, READ BETWEEN LINES of what this person is saying!!!!!!!
Ingawaje ameelezea nia ya kutaka kuwa cheater its not really that what this person wants in her heart... she is soo broken and she is trying to find a way to reach to someone who would understand her and amsaidie,,, she has been bitterly broken na ndo maana anaona kuamua kucheat ni solution,,
Getruda cheating is never a good option lakini ukijikuta umefanya hivyo by accident i wont blame u,, ila sio kitu cha kuplan kufanya,,, halafu are u planning to be a cheater as u already have a man u want to cheat him au u want to become a player?? either way sio option nzuri,,, na ni kwasababu hautakua unamkomoa yule unayemchezea NOO but utakua unajikomoa mwenyewe na nafsi yako and U WILL NEVER GET the satisfaction ya huko Kucheat,, becareful lady... cheers!!
 
Wengi wamemponda lakini hawajui maumivu aliyonayo kuumizwa kunauma na unaweza kufanya jambo ambalo hukutarajia ,ma dia getruda usicheat hutopata faida yoyote zaidi utajikuta day after day unaregret ulichokifanya
 
sawa kabisa getrude,nakuunga mkono,welcome to bishanga's world,it is fantastico!
 
JF ni sehemu mojawapo mtu kutumiwa PM na kutongozwa. . . ukiona inakuuma unaweza kupotezea.

Sasa kama ulijua hvo kwanini uliwashwa kuona tangazo hapa?? mimi sikuwashwa kama lilivyokuwasha wewe, that's why nkakujulisha tu kwamba tangazo lake lipo nahali sahihi! kitu ushaona kinakukwaza upotezee tu bi dada, JF ni ya wote wapya na wazamani eeh, hakuna ambaye ni tbs ya kuchuja tangazo gani la mahusiano liwekwe hapa au lisiwekwe....... kwa leo naishia hapa!!

Getruda mwaya jiskie kuweka tangazo lako popote pale ujisikiapo, iwe JF, Facebook, Twitter, Bongoline na kwingineko, hugombwi.
 
Tunapenda sana kuzingiziana wakati ukimeo ni wakwetu wenyewe. Kuna ulizaliwa na mtu?
 
Sasa kama ulijua hvo kwanini uliwashwa kuona tangazo hapa?? mimi sikuwashwa kama lilivyokuwasha wewe, that's why nkakujulisha tu kwamba tangazo lake lipo nahali sahihi! kitu ushaona kinakukwaza upotezee tu bi dada, JF ni ya wote wapya na wazamani eeh, hakuna ambaye ni tbs ya kuchuja tangazo gani la mahusiano liwekwe hapa au lisiwekwe....... kwa leo naishia hapa!!

Getruda mwaya jiskie kuweka tangazo lako popote pale ujisikiapo, iwe JF, Facebook, Twitter, Bongoline na kwingineko, hugombwi.

We nawe kichwa maji kweli. . .
Wapi niliposema asitangaze?
 
Si msapoti, ila mnaomtishia ukimwi mnanishangaza, kwa hiyo akae asubiri aletewe, maana nilichoelewa ni kwamba mwenzie sio mwaminifu, mi naona wacha waleteane tu...
 
We nawe kichwa maji kweli. . .
Wapi niliposema asitangaze?

Hahahahaha Lizzy mpenzi unaniita kichwa maji hata hunijui? tena ukute wewe ni jirani yangu kila siku tunapishana koridoni tukicheka,haya mama asante
 
hata sikulaumu...ukiwamua kua committed hapa bongo na na wabongo wenyewe ndio haoo...utakua unaumizwa kila kukicha so kula good times..maisha yenyewe mafupi...
 
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

plz madam pm me fast..
 
Back
Top Bottom