Nimeamua kuweka wazi

Nimeamua kuweka wazi

hivi we Mzee kwa nini una mtaja taja sana my akanana Passion Lady. unapenda meno yako.
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaa! Mzee sasa itabidi familia ikae km kamati ili niweze kuongea na mme wangu Rejao ili anipe Baraka zake kwa jukum hili ulilonipatia.ila najua hapo ni wivu tu ndio unakusumbua tu Mzee maana unaona ukiniweka kwenye kamati na mme wangu Rejao nitafaidi sana lol!

Cantalisia.

Kwanza ukikaa na mmeo Rejao kazi zitakuwa haziendi.
 
Last edited by a moderator:
Tanesco ni mabaradhuli wakubwa, wametukatia umeme tangu asubuhi.

Nipo kijijini rafiki.

Hawa viumbe walaaniwe hadi washangae.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Achana na my waifu Arabela nitakuchanachana na viwembe
 
Last edited by a moderator:
Ndo naiona hii thread,subiria ninywe valuu nitarudi punde, Mzee you are finished,umdgusa pabaya bora ungemwaga hewa ya sumu Syria.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi. Kwani wakati unakula pesa zangu hukujua ninachotaka???

Acha masikhara wewe????

Mweee sijui chama kaenda wapi jamani au ndo yale mafuriko yameondoa network aje tu alipe deni nitoke kifungoni.
 
Last edited by a moderator:
Ndo naiona hii thread,subiria ninywe valuu nitarudi punde, Mzee you are finished,umdgusa pabaya bora ungemwaga hewa ya sumu Syria.


Bishanga. Acha mbwembwe. Subiria tindikali ndio utatia akili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom