KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
KOKUTONA. Nakula, nashiba. Unafikiri hizi nguvu nitazipinguzia wapi?!.
Haya mambo hayana uzee wala ujana. Swala ni uwezo tu.
Kwa maelezo zaidi mcheki Zahra White.
Utafia six by six shaurilo.
Wasichana watakuzunguusha uzunguuke mwisho ukose punzi buree
Haya mambo unadhanii ni uwezo/nguvu peke yake?
Uliza vizuri uambiwe