Nimeamua kuweka wazi

Nimeamua kuweka wazi

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Nimeamua kuiweka wazi orodha ya wanaCC ambao nina bifu nao.

1. Mamndenyi.
Huyu mwanamama nimejitokeza kwake maranyingi kumpiga mistari, ameshindwa kunielewa.

Nimetumia mbinu zote, halali na zisizo za halali. Amenilea fedha zangu nyingi. Ila bado ananibania. Sasa ajiandae kwa lolote litakalomtokea.

2. Bishanga.
Kutoka vyanzo vyangu vya habari ni kwamba vijisenti vyake vya mkopo vinawazuzua mabinti hapa mjini. Ameshanizibia riziki kibao. mf. The secretary alinichomolea kisa huyu mzee. Sasa jiandae kufa ama kuwa kilema.

3. Lady doctor
Huyu nilimpa pesa zangu anisaidie kumuweka sawa The secretary, amesepa na pesa zangu. Mpare haibiwi kizembe namba hiyo. Jiandae kwa lolote.

4. Arabela.
Huyu alikuwa pesa zangu nyingi tu. Kuna siku nilimpiga pombe, ilipofikia wakati wa kulipa fadhila akaniponyoka. Dawa yako ipo jikoni. Utanilipa tu.

5. Erickb52.
Huyu ni mume wa The secretary. Alinitolea maneno ys kuudhi baada ya kugundua kuwa namfukuzia mke wake. Nitakufundisha adabu.

6. Arushaone.
Kosa la mke ni kosa la mke. Huyu jamaa ataingia kwenye kosa la mkewe Lady doctor. Huyu pia anampa kiburi Lady doctor. Subiria dawa yako imeshaiva.

7. Baba V
Huyu ni mwenyekiti wa CC, nimeripoti matukio yote haya kakini hakuchukua hatua yoyote. Dawa yake imeshaiva. Jiandae kuinywa.

NB:
Nisilaumiwe siku hao niliowataja hapo juu wakikutwa na moja kati yafyatayo
a. Kumwagiwa tindikali lita 5.
b. Kupigwa risasi 70.
c. Kutekwa.

Nisilaumiwe.


=======================

UPDATE

Baada ya kujadiliana sana bibie Passion Lady. Amenishauri niongeze adhabu.

1. Vifanyio vyao nitavihamishia USONI. Nimeshawasiliana na mtaalam anaanza kazi.

2. Kina mama nitawaingiza mwezini mwaka mzima yaani siku 365 mfululizo.

3. Nitawatengeneza kila wakikutana na wenza wao wanuke ma.vi.

4. Nitawafanya kila wakitamani kula tunda la uhuru akili ziruke.

NB.
a. Kina baba wote watashughulikiwa na Passion Lady.

b. Kina mama wote watakuwa chini ya Judgement.

Nawatakia kila la kheri.

Lazima tuheshimiane, hata kwa makusudi.

=======================
UPDATE.

Jana baada ya kubandika hili bandiko. Mwenyekiti Baba V aliunda kamati ya usuluhishi. Ilikuwa chini ya
Mwenyekiti: Mungi
Katibu: Passion Lady
Wajumbe: Cantalisia, madameB, Heaven on earth, Mrembo by Nature, watu8, mshanajr, @Figganiga.

Mapendekezo ya kamati.
Baada ya kulichunguza hili swala la makini. Kamati ilipendekeza mambo yafuatayo

1. Mamndenyi anipe UTAMU mwezi mzima. Yaani siku 30 asubuhi, mchana, jioni na Usiku.

2. Lady doctor anilipe pesa zangu pamoja na kunipa utamu siku 7.

3. Arushaone na Bishanga wamepigwa faini ya shilingi moja wote kwa pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Hujachelewa kuwashughulikia komaa!
Anaecheka mwisho ndiyo ....
 
Hujachelewa kuwashughulikia komaa!
Anaecheka mwisho ndiyo ....


Judgement
Nimetoa taarifa ili ikitokea, wasije kuanza kunyooshea mtu kidole.

Diplomasia ikishindikana ni mwendo wa ubabe tu.
 
Last edited by a moderator:
Judgement
Nimetoa taarifa ili ikitokea, wasije kuanza kunyooshea mtu kidole.

Diplomasia ikishindikana ni mwendo wa ubabe tu.

Nimeskitishwa!
Unasumbuliwa hata na
"Kauza-matoke?" hako si ni kakupiga pipe ya kichwa tu! Na hivi kalevi , wala hutosumbuka
 
Last edited by a moderator:
Nimeskitishwa!
Unasumbuliwa hata na
"Kauza-matoke?" hako si ni kakupiga pipe ya kichwa tu! Na hivi kalevi , wala hutosumbuka


Judgement.
Dawa yake ilikuwa jikoni. Imeshaiva.

Subiria utasikia tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama hela unayoweweseka nayo iseme ni ngapi mwana siasa wangu atakurudishia.


Mamndenyi. Kwasasa sihitaji tena pesa.

Muambie huyo mwanasiasa wako naye ameingia kwenye orodha. Asubirie tindikali.
 
Last edited by a moderator:
Kama hela unayoweweseka nayo iseme ni ngapi mwana siasa wangu atakurudishia.


Mamndenyi. Kwasasa sihitaji tena pesa.

Muambie huyo mwanasiasa wako naye ameingia kwenye orodha. Asubirie tindikali.
 
Last edited by a moderator:
Mi simo Mzee, mtani wako ni tayari kukurudisha kwenu wakikurestisha in pisi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

aaaaaaaah bwana we Mzee
adhabu gani hizo za kitoto
hamisha vikojoleo na vifanyio vyao
vihamie usoni ndio wakomage!!mi simo lkn!!


Passion Lady.

Hata hiyo adhabu nimeiona ndogo. Nataka kuwaondoa kwenye uso wa dunia ama kuwapa kilema.

Hata hiyo ya kuwabandika vifanyio vyao usoni sio mbaya.

Nitakupa hiyo kazi. Upo tayari???
 
Last edited by a moderator:

aaaaaaaah bwana we Mzee
adhabu gani hizo za kitoto
hamisha vikojoleo na vifanyio vyao
vihamie usoni ndio wakomage!!mi simo lkn!!


Passion Lady.

Hata hiyo adhabu nimeiona ndogo. Nataka kuwaondoa kwenye uso wa dunia ama kuwapa kilema.

Hata hiyo ya kuwabandika vifanyio vyao usoni sio mbaya.

Nitakupa hiyo kazi. Upo tayari???
 
Last edited by a moderator:
Mi simo Mzee, mtani wako ni tayari kukurudisha kwenu wakikurestisha in pisi.

Umemwambia yakimkuta ndo hivyo tena. mi namwitia mwanasiasa wangu aone moto wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom