Nimeamua kuweka wazi

Nimeamua kuweka wazi

chama. Kama haiamki ilikuaje mkeo akaahirisha gemu.

Mwambie aje. Atakuhadithia.


wewe si mngoma huishi sababu unajulikana mtaani; umekimbiwa na wake kwasababu ya jongoo lina baridi yabisi; yawaje mtoto wa kiume balekhe kama wewe hata mimba ya kusingiziwa huna????
 
wewe si mngoma huishi sababu unajulikana mtaani; umekimbiwa na wake kwasababu ya jongoo lina baridi yabisi; yawaje mtoto wa kiume balekhe kama wewe hata mimba ya kusingiziwa huna????


chama. Punguza ukali wa maneno aiseee.

Nitakuotesha mshipa alaaa.
 
Last edited by a moderator:
Nimeamua kuiweka wazi orodha ya wanaCC ambao nina bifu nao.

1. Mamndenyi.
Huyu mwanamama nimejitokeza kwake maranyingi kumpiga mistari, ameshindwa kunielewa.

Nimetumia mbinu zote, halali na zisizo za halali. Amenilea fedha zangu nyingi. Ila bado ananibania. Sasa ajiandae kwa lolote litakalomtokea.

2. Bishanga.
Kutoka vyanzo vyangu vya habari ni kwamba vijisenti vyake vya mkopo vinawazuzua mabinti hapa mjini. Ameshanizibia riziki kibao. mf. The secretary alinichomolea kisa huyu mzee. Sasa jiandae kufa ama kuwa kilema.

3. Lady doctor
Huyu nilimpa pesa zangu anisaidie kumuweka sawa The secretary, amesepa na pesa zangu. Mpare haibiwi kizembe namba hiyo. Jiandae kwa lolote.

4. Arabela.
Huyu alikuwa pesa zangu nyingi tu. Kuna siku nilimpiga pombe, ilipofikia wakati wa kulipa fadhila akaniponyoka. Dawa yako ipo jikoni. Utanilipa tu.

5. Erickb52.
Huyu ni mume wa The secretary. Alinitolea maneno ys kuudhi baada ya kugundua kuwa namfukuzia mke wake. Nitakufundisha adabu.

6. Arushaone.
Kosa la mke ni kosa la mke. Huyu jamaa ataingia kwenye kosa la mkewe Lady doctor. Huyu pia anampa kiburi Lady doctor. Subiria dawa yako imeshaiva.

7. Baba V
Huyu ni mwenyekiti wa CC, nimeripoti matukio yote haya kakini hakuchukua hatua yoyote. Dawa yake imeshaiva. Jiandae kuinywa.

NB:
Nisilaumiwe siku hao niliowataja hapo juu wakikutwa na moja kati yafyatayo
a. Kumwagiwa tindikali lita 5.
b. Kupigwa risasi 70.
c. Kutekwa.

Nisilaumiwe.


=======================

UPDATE

Baada ya kujadiliana sana bibie Passion Lady. Amenishauri niongeze adhabu.

1. Vifanyio vyao nitavihamishia USONI. Nimeshawasiliana na mtaalam anaanza kazi.

2. Kina mama nitawaingiza mwezini mwaka mzima yaani siku 365 mfululizo.

3. Nitawatengeneza kila wakikutana na wenza wao wanuke ma.vi.

4. Nitawafanya kila wakitamani kula tunda la uhuru akili ziruke.

NB.
a. Kina baba wote watashughulikiwa na Passion Lady.

b. Kina mama wote watakuwa chini ya Judgement.

Nawatakia kila la kheri.

Lazima tuheshimiane, hata kwa makusudi.

=======================
UPDATE.

Jana baada ya kubandika hili bandiko. Mwenyekiti Baba V aliunda kamati ya usuluhishi. Ilikuwa chini ya
Mwenyekiti: Mungi
Katibu: Passion Lady
Wajumbe: Cantalisia, madameB, Heaven on earth, Mrembo by Nature, watu8, mshanajr, @Figganiga.

Mapendekezo ya kamati.
Baada ya kulichunguza hili swala la makini. Kamati ilipendekeza mambo yafuatayo

1. Mamndenyi anipe UTAMU mwezi mzima. Yaani siku 30 asubuhi, mchana, jioni na Usiku.

2. Lady doctor anilipe pesa zangu pamoja na kunipa utamu siku 7.

3. Arushaone na Bishanga wamepigwa faini ya shilingi moja wote kwa pamoja.

Mzee mbona umesahau waangalizi wa hii kesi...ila hiyo ya kuweka vifanyio usoni na kuwa kwenye mp mfululizo nimeipenda sana vyupi vitavaliwa usoni, loh!
 
Last edited by a moderator:
Mzee mbona umesahau waangalizi wa hii kesi...ila hiyo ya kuweka vifanyio usoni na kuwa kwenye mp mfululizo nimeipenda sana vyupi vitavaliwa usoni, loh!

bysange.
Hii imeshawahi kumtokea Bishanga. Alifumaniwa.
 
Last edited by a moderator:
chama. Punguza ukali wa maneno aiseee.

Nitakuotesha mshipa alaaa.
Mzee
Acha kunyemelea vya watu; usione vinameremeta Mamndenyi haogi maji ya tope ya Ruvu chini hapo tumewekeza na tunaendelea kuwekeza! Babu yangu ndio mganga wa kutoa mishipa Pangani sema jingine!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi
Kuna watu wanapenda kujifariji mzee anajua wazi hakuwezi na hakumudu sijui hizi akili za kufurahisha baraza ataziacha lini!


Mwambie afungue mlango niingie aone moto wake.

Ila pesa zangu ataridisha tu. Lazima malengo yatimie.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie afungue mlango niingie aone moto wake.

Ila pesa zangu ataridisha tu. Lazima malengo yatimie.

Vitisho vya kobe kumtisha nyau hivyo! jongwe amelala usingizi fofo utamaliza makombe na waganga hamna kitu hapo!
 
Back
Top Bottom