Nimeamua niache kazi nikajiajiri

Karibu sana mkuu me nilishaacha miez sita iliyopita karibu tufuge kuku
Apo kweny kuku umenivuta na mimi pia,,,nilkua natafuta jins ya kupata kuku wa kienyeji bt nipo mwanza nilkua naitaji.kwa yeyot anayefahamu kwa mwanza wapi kuku wa bei nzur wanapatikan na ambao ni mbegu nzur pia katik kutaga,,asanteni mwenye kujua msaada tafadhali
 
nilikua chuo mkuu sasa naona mambo ya kuajiriwa yananichosha
 
Karibu sana mkuu uku mtaani mambo safi ila usife moyo uku ni kusonga mbele.
Kujiajiri kuna raha yake kwa mfano weka biashara itakayokupa angalau afu 20 au 30 kwa siku Mara mwezi 20000×30=laki6
Hii hata mwalimu shule ya msingi hapokei.
Karibu sana!!
 
Hongera ni maamuzi mazuri mkuu ila kabla ya kufikia hayo maamuzi ni bora ungeanzisha biashara au kitu chochote cha kukupa sapoti pia upate experience ya business kabla ya kuacha Kazi, hii ingekusaidia kutokujuta wala kutamani kurudi kazini pale mambo yanapokua magumu mwanzoni.

Ungewavutia muda kimya kimya wakati huo unajipanga na unaweka malengo kwamba siku fulan au mwaka flani ntakua nimekamilisha malengo husika then naachana na utumwa.
Otherwise nakupongeza na kukutakia kila lakheri
 
Asante sana mkuu natoka hapa be blessed
 
Asante sana mkuu natoka hapa be blessed
 
Mimi pia nina wazo kama hilo hilo mkuu adadhali tumekutana mm nina laki 6 nataka niache kaz mwez huu mwishon na nianz biashara yangu march utumwa nimechoka wakuu bora kujituma mwnyewe
ok hongera kwa maamuzi mazur
 
Nnauza incubator ya mayai 3500 ipo mwanza. Tsh 3.5M.
 
Binadamu tunafeli Katika sekta moja ya UCHAGUZI(kuchagua) ukiipatia hapo utaona wte walioajiriwa km hawana akili vile,,, ila usishangae na ujiandae ukiona umeanza na kubuma,ndio somo LA kujiajiri kwamba unaanza na kamtaji kako then unabuma,,so usife moyo jiamin na amin unachotaka kufanya na matokeo uyakubali.... Mungu akutangulie wengine hatujaamini katk kuajiriwa toka shule ya msingi
 
asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…