Nimeamua niache kazi nikajiajiri

Nimeamua niache kazi nikajiajiri

Ulikuwa umeajiriwa.alaf una akiba ya laki tano.?ndo unataka kufanya biashara.bora ungeendelea na utumwa.kweli wewe masikini jeuri.
maskini gani kuna watu wana wazo Lakin hawana mtaji mimi nataka nifanye biashara kwa kuanza na hiyo pesa sitaki kuingiza pesa yote kwenye biashara
 
Kuna watu wana mtaji Lakin hawana wazo la biashara

Hawana mawazo ya biashara kwa kuwa wamegoma kutumia kilichomo ndani ya vichwa vyao.......

Biashara inaendana na mahitaji ya mwanadamu kwa sababu biashara zinahudumia wanadamu......

Angaza macho eneo lililokuzunguka.....je mahitaji yao yanatimizwa kwa kiwango kinachoridhisha.......!!???

Kuna uhaba wa jambo au huduma gani.....!!?? Huo ndio mwanzo wa mawazo ya biashara......

Ukiwa na mawazo kama hayo.....mtaji kwako sio tatizo.....kwani mawazo yako ni mtaji tosha.......
Mfano mdogo waangalie wachina walivyoleta
mageuzi kwenye ujasiliamali hapa nchini.....
Think big......
 
Apo kweny kuku umenivuta na mimi pia,,,nilkua natafuta jins ya kupata kuku wa kienyeji bt nipo mwanza nilkua naitaji.kwa yeyot anayefahamu kwa mwanza wapi kuku wa bei nzur wanapatikan na ambao ni mbegu nzur pia katik kutaga,,asanteni mwenye kujua msaada tafadhali
Nitafute pm utajua yote
 
Mtaji wa 10,000 unaingiza 100,000 kwa muda gani? Ni biashara gani hiyo.

Kuna kitu kinaitwa Time Value of Money. Kupata faida ya milioni tatu ndani ya miezi sita, hiyo kwangu ni hasara, bora niwe mtumwa niingize ela inayoeleweka mwisho wa mwezi.

Mkuu usisikilize maneno ya kila mtu humu. Mwingine hana kazi anatumiwa ela ya vocha lakini akija hapa ni tajiri amejiajiri. Mwingine kaajiriwa muda mrefu lakini bado atakushauri achana na utumwa nenda kajiajiri.

Kujiajiri sio swala dogo. Inabidi uwe na moyo wa simba, lakini pia usitegemee mafanikio ya haraka. Kuanzisha biashara ya maana sio swala rahisi, unaweza kusota hata mwaka mzima hujaona faida inayoeleweka.

Tuliza kichwa mkuu kabla hujaacha kazi, usilete mchezo na kazi japo unanipa mashaka na hiyo akiba yako ya 500,000. Sijaelewa kuwa mshahara wako ni mdogo au matumizi yako ni makubwa. Umefanya kazi kwa muda gani?
 
vyakula vya aina gani mkuu
Fanya biashara ya nafaka mkuu.....unakuka vijijini unanunua na mwenda kuuza mijini.
Ukiendelea huko mbele unakuwa unanunua bei ikiwa chini na kuuza ikiwa nzuri,.
....
*kila kitu kitapita hapa duniani ila tumbo litabaki na kazi ile ile ya kula kizazi na kizazi....mwalimu wangu wa agr. Alisema hivyo
 
pesa ninayo nataka nianze na laki tano nifanye biashara nione itakuaje Nina miez mitatu tangu niajiriwe
 
Asante mkuu
 
Hapa tunadanganyana.kama umepata pa kujishikiza.komaa hapo hapo.usiache kazi uende kujiajiri eti una laki 5.hyo unaona hela?ni afadhali uendelee kuajiriwa.alafu ufungue vijibiashara.uweke watu.lakini si kuacha kazi.
 
pesa ninayo nataka nianze na laki tano nifanye biashara nione itakuaje Nina miez mitatu tangu niajiriwe
Bado haujaelewa unataka nini.miezi mitatu unaacha kazi?haya kila la kheri.
 
Hapa tunadanganyana.kama umepata pa kujishikiza.komaa hapo hapo.usiache kazi uende kujiajiri eti una laki 5.hyo unaona hela?ni afadhali uendelee kuajiriwa.alafu ufungue vijibiashara.uweke watu.lakini si kuacha kazi.
Sawa mkuu
 
niweke watu halafu niwalipe tena
 
Karibu sana mkuu uku mtaani mambo safi ila usife moyo uku ni kusonga mbele.
Kujiajiri kuna raha yake kwa mfano weka biashara itakayokupa angalau afu 20 au 30 kwa siku Mara mwezi 20000×30=laki6
Hii hata mwalimu shule ya msingi hapokei.
Karibu sana!!
Muongo wewe na una matatizo ya akili( No research no right to speak).

Nafahamu walimu wengi wa msingi wanapokea Tsh716,000 na wengine Tsh940,000 hao wanaopokea Tsh419,000 ni wale wanaoanza kazi.

Pia huyo mwalimu anapokea na kujiajiri kama wewe.

Mtoa post hongera kwa maamuzi mazuri utafanikiwa.
 
saf..mkuu nadhan km unekuwa msim mzur wa hal ya hewa mkuu ungeenda tu bush ujichimbie ekga ekga ya mahind yko kwa laki tano upateyako inatosha na ukivuna una una km 1.5m had 8..kwa mawazo yng kwako.. n.cz ht mimi ndo nimetokea huko kimtindo jpo bdo cjafika napotaka ila jpo cjafika.ila ndio nipo njian ktk mafanikio.

kilimo kinalipa.sana mkuu hasa nafaka.
Kilimo. Cha nadharia
 
Unatoka kwenye utumwa unaingia kwenye kujituma mwenyewe.....ili uyaone mafanikio unatakiwa ujitume kuliko hata ulivyokuwa ukitumwa mwanzo..........

Mimi huwa namheshimu mtu anayeuza karanga zake barabarani kuliko hata mkurugenzi wa ofisini.....
Ujasiriamali huu si mchezoo... Ujasiriamali sio kila kitu mkuu,inategemea na Ujasiriamali, Fate ya muuza karanga vs fate ya mkurugenzi ,SMH...
I admire Ujasiriamali if it pays more than a job not otherwise...
 
Back
Top Bottom