Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Sawa mkuuAcha kujitafutia shida. Huki sio kipindi kizuri cha kujiajiri. Utakuja kupata magonjwa ya moyo bure. Sasa kama elimu yako mbuzi kwa nini usitumwe tumwe? Kama hupendi kutumwa kaongeze elimu...
mungu akubariki sana ,yani mm tapeli!Epu na haya matapeli
point mkuu umesema yaani ni afadhali ujishughulishe kwa kile ambacho unakifanya wewe kuliko kutumikia maofisi ya wenzako unawatajirisha wao wewe unabaki maskini yaani huyu kaamua vyema sanaUnatoka kwenye utumwa unaingia kwenye kujituma mwenyewe.....ili uyaone mafanikio unatakiwa ujitume kuliko hata ulivyokuwa ukitumwa mwanzo..........
Mimi huwa namheshimu mtu anayeuza karanga zake barabarani kuliko hata mkurugenzi wa ofisini.....
cha kufanya amua kama alivyoamua mwenzako ni bora utaabike kwa kipindi kifupi cha mwanzo kuliko kuwa sehemu yenye utumwa huku hujui ufanyajemimi kinachonikera ni kazi nyingi mshahara sion nimefungwa hata mambo yangu ya kifamilia sifanyi yani sifanyi chochote
saf..mkuu nadhan km unekuwa msim mzur wa hal ya hewa mkuu ungeenda tu bush ujichimbie eka moja ya mahind yko kwa laki tano yako inatosha na ukivuna una una km 1.5m had 8..kwa mawazo yng kwako.. n.cz ht mimi ndo nimetokea huko kimtindo jpo bdo cjafika napotaka ila jpo cjafika.ila ndio nipo njian ktk mafanikio.
kilimo kinalipa.sana mkuu hasa nafaka.
Acha sifa,,,,sifa zilimuua mwangimbaWewe unaonekana ni mbinafsi na unakibuli hata ukianza biashala utachemka tu kwa biashara inaitaji uchesh na ukalimu ndipo utatushika Wateja sasa na nyodo zako hizo utafanya biashara gani?
mwaga sera hapahapa kuna wengi wanahtaj huo ushaur piakama upo serious njoo inbox
Mkuu usante kwa ushauri ulioshibaUnatoka kwenye utumwa unaingia kwenye kujituma mwenyewe.....ili uyaone mafanikio unatakiwa ujitume kuliko hata ulivyokuwa ukitumwa mwanzo..........
Mimi huwa namheshimu mtu anayeuza karanga zake barabarani kuliko hata mkurugenzi wa ofisini.....
Ulikuwa umeajiriwa.alaf una akiba ya laki tano.?ndo unataka kufanya biashara.bora ungeendelea na utumwa.kweli wewe masikini jeuri.
Sijaona ujasiriamali wa namna hyo.10,000 izae laki?hadithi za shigongo hizi.atafanya biashara gani?Umasikini mkubwa kuliko wote ni umaskini wa akili na fikra........
Mwanadamu anaanza kufa akili ndio unafuata mwili.....
Kichwa ni maktaba na hekalu la fikra mbali mbali........
Mtu mwenye kuitumia akili yake vyema....anakuwa na mawazo mazuri na yenye tija......
Mtu wa hivyo.....hata ukimpa shilingi elfu kumi....baada ya muda anaweza kuifanya kuwa laki moja........
Lakini mtu asiye na fikra na mawazo yakinifu hata ukimpa bilioni moja....bado kwake haitatosha.......
Think big
Take control of your destiny
Kuna watu wana mtaji Lakin hawana wazo la biasharaUmasikini mkubwa kuliko wote ni umaskini wa akili na fikra........