KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Sijaona ujasiriamali wa namna hyo.10,000 izae laki?hadithi za shigongo hizi.atafanya biashara gani?
maskini gani kuna watu wana wazo Lakin hawana mtaji mimi nataka nifanye biashara kwa kuanza na hiyo pesa sitaki kuingiza pesa yote kwenye biasharaUlikuwa umeajiriwa.alaf una akiba ya laki tano.?ndo unataka kufanya biashara.bora ungeendelea na utumwa.kweli wewe masikini jeuri.
Kuna watu wana mtaji Lakin hawana wazo la biashara
Nitafute pm utajua yoteApo kweny kuku umenivuta na mimi pia,,,nilkua natafuta jins ya kupata kuku wa kienyeji bt nipo mwanza nilkua naitaji.kwa yeyot anayefahamu kwa mwanza wapi kuku wa bei nzur wanapatikan na ambao ni mbegu nzur pia katik kutaga,,asanteni mwenye kujua msaada tafadhali
vyakula vya aina gani mkuuUza vyakula
Fanya biashara ya nafaka mkuu.....unakuka vijijini unanunua na mwenda kuuza mijini.vyakula vya aina gani mkuu
pesa ninayo nataka nianze na laki tano nifanye biashara nione itakuaje Nina miez mitatu tangu niajiriweMtaji wa 10,000 unaingiza 100,000 kwa muda gani? Ni biashara gani hiyo.
Kuna kitu kinaitwa Time Value of Money. Kupata faida ya milioni tatu ndani ya miezi sita, hiyo kwangu ni hasara, bora niwe mtumwa niingize ela inayoeleweka mwisho wa mwezi.
Mkuu usisikilize maneno ya kila mtu humu. Mwingine hana kazi anatumiwa ela ya vocha lakini akija hapa ni tajiri amejiajiri. Mwingine kaajiriwa muda mrefu lakini bado atakushauri achana na utumwa nenda kajiajiri.
Kujiajiri sio swala dogo. Inabidi uwe na moyo wa simba, lakini pia usitegemee mafanikio ya haraka. Kuanzisha biashara ya maana sio swala rahisi, unaweza kusota hata mwaka mzima hujaona faida inayoeleweka.
Tuliza kichwa mkuu kabla hujaacha kazi, usilete mchezo na kazi japo unanipa mashaka na hiyo akiba yako ya 500,000. Sijaelewa kuwa mshahara wako ni mdogo au matumizi yako ni makubwa. Umefanya kazi kwa muda gani?
Asante mkuuFanya biashara ya nafaka mkuu.....unakuka vijijini unanunua na mwenda kuuza mijini.
Ukiendelea huko mbele unakuwa unanunua bei ikiwa chini na kuuza ikiwa nzuri,.
....
*kila kitu kitapita hapa duniani ila tumbo litabaki na kazi ile ile ya kula kizazi na kizazi....mwalimu wangu wa agr. Alisema hivyo
Bado haujaelewa unataka nini.miezi mitatu unaacha kazi?haya kila la kheri.pesa ninayo nataka nianze na laki tano nifanye biashara nione itakuaje Nina miez mitatu tangu niajiriwe
Sawa mkuuHapa tunadanganyana.kama umepata pa kujishikiza.komaa hapo hapo.usiache kazi uende kujiajiri eti una laki 5.hyo unaona hela?ni afadhali uendelee kuajiriwa.alafu ufungue vijibiashara.uweke watu.lakini si kuacha kazi.
niweke watu halafu niwalipe tenaHapa tunadanganyana.kama umepata pa kujishikiza.komaa hapo hapo.usiache kazi uende kujiajiri eti una laki 5.hyo unaona hela?ni afadhali uendelee kuajiriwa.alafu ufungue vijibiashara.uweke watu.lakini si kuacha kazi.
Sawa mkuuMmmmh laki tano tu, sikushauri!
Muongo wewe na una matatizo ya akili( No research no right to speak).Karibu sana mkuu uku mtaani mambo safi ila usife moyo uku ni kusonga mbele.
Kujiajiri kuna raha yake kwa mfano weka biashara itakayokupa angalau afu 20 au 30 kwa siku Mara mwezi 20000×30=laki6
Hii hata mwalimu shule ya msingi hapokei.
Karibu sana!!
Kilimo. Cha nadhariasaf..mkuu nadhan km unekuwa msim mzur wa hal ya hewa mkuu ungeenda tu bush ujichimbie ekga ekga ya mahind yko kwa laki tano upateyako inatosha na ukivuna una una km 1.5m had 8..kwa mawazo yng kwako.. n.cz ht mimi ndo nimetokea huko kimtindo jpo bdo cjafika napotaka ila jpo cjafika.ila ndio nipo njian ktk mafanikio.
kilimo kinalipa.sana mkuu hasa nafaka.
Ujasiriamali huu si mchezoo... Ujasiriamali sio kila kitu mkuu,inategemea na Ujasiriamali, Fate ya muuza karanga vs fate ya mkurugenzi ,SMH...Unatoka kwenye utumwa unaingia kwenye kujituma mwenyewe.....ili uyaone mafanikio unatakiwa ujitume kuliko hata ulivyokuwa ukitumwa mwanzo..........
Mimi huwa namheshimu mtu anayeuza karanga zake barabarani kuliko hata mkurugenzi wa ofisini.....