Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Humu wapo watu wa aina zote unazozijua na usizozijua duniani....Kuna matapeli humu
wako mapadre wachungaji mashehe maaskofu masista wateja mashoga mabasha vibamia mandingo bwawa visima
wamo pia maduu matozi usalama wa taifa usalama wa raia marais wananchi wapiga kura wabunge madiwani madalali wezi majambazi
wako vibonge wembamba wasomi
wamo timu simba timu yanga timu kiba timu WCB wako timu muziki mzuri na timu ujanjaujanja
wapo pia bingo fleva na wapo bongo movie mazombii mazumbukuku wa insta wa fb wa viber wa Twitter wa badoo na takataka zozote unazozijua na usizotarajia kuzijua leo wala kesho