Nimeamua/ nimeshawishika kufanya biashara ya kupaka rangi kucha za kinamama

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
habari za weekend wakuu i hope mko salama wote
Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu siku hizi nashawishika kuanza kufanya biashara ya kupaka kucha wakina dada au kina mama sababu ni kazi nzuri na inalipa hasa kwa dsm japo unapigwa na jua lakini unapata faida mara 2 kwa hiyo natoa tangazo hata wadada au kinamama wa humu JF kama utakua na shida ya upakaji rangi kucha,kusafisha miguu, masaji ya mg0ngo,na,viungo vingine, unaweza kuni PM popote nafika kwa hapa dar huduma ni nzuri na ni gharama nafuu na hutojuta kupata huduma hizi
Na biashara ni kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na m0ja na nusu (juma 3 hadi ijumaa) na siku za weekend biashara inaanza saa tatu na nusu asubuhi mpaka saa mbili na nusu usiku
Kwa hiyo wadada mnakaribishwa sana hasa wale ambao hawatoki nje yaani ndani ya geti muda wote na hata wababa waliooa wanakaribishwa kunipa wake zao niwasugue miguu na kupaka rangi kucha
KARIBUNI SANA
#HAPAKAZITU
#YUNGT3MPER

YES BISHOO HASWAA
 
Anza na dada zako na mama uweke na picha hapa tujidhihirishe kweli upo vizuri ndipo tukupe madem zetu.
 
Vipi ya overtime utatoa?
 
Mkuu Nishawahi kumuuliza Mpaka Rangi za Wadada Mmoja anayetembea anazunguka Mji Mzima .... Anadai Per Day anapata Wateja wasiopungua 30 na Siku zingine anapiga Mpaka 40+
 
Unataka uwatumie member wa jf kama kichwa cha mwendawazimu ambacho kila mtu anajifundishia kukata nywele? kajifundishe kwanza kisha ukipata experience njoo tena hapa coz umesema unashawishika kuingia kwenye hiyo kazi,hii ina maana huijui hiyo kazi wala hujaifanya,
 
hujanielewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…