Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Namuonea huruma huyo mtoto kwani atakosa malezi ya baba...
Wangapi wanaishi na baba zao nyumba moja na hawapati hayo ''malezi ya baba''??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuonea huruma huyo mtoto kwani atakosa malezi ya baba...
Heshima zenu wanajamvi wa mmu, bila shaka mnakumbuka post yangu ya nyuma kuhusu kuolewa nashukuru sana wengi wenu mlinitia moyo mkanifariji na mkanipa mawazo kemkem ya kusonga mbele, nilikua natafakari mambo mengi kwa muda wote ule na kuna jibu moja la maana nimelipata na litawafaidieni na nyie ni kwamba, upande juu ushuke chini KUNA KIPINDI MWANAMKE ANAHITAJI KUITWA MAMA usichana basi na anatamani jina lake libadilike si Sofia tena anatamani kusikia mama fulani, sasa basi nimeamu nitafute mtoto kwa udi na kwa uvumba bila kuwa na mume nimeamua kufungua ukurasa mpya wa maisha naenda zangu mbali nikiwa na maana ya kuama
sitahiji uhusiano wowote na watu wa zamani wala comunucation wala rafiki wala shoga nabadilisha namba ya simu nafunga email yangu naenda kuanza upya marafiki na mashoga zangu mtanisamehe sana walio kuwa wapenzi wangu ndio kabisaaa hawatakaa wanisikia wala kuniona nimeamua ndio maisha mapya wa kuzaa nae nishampata kwa vile nimeona hana mwelekeo wa kuoa nikishabeba mimba tuu namtoroka hatakaa anisikie kwa chumvi wala kwa sukari ni mimi na mwanangu tuu, habari ndio hiyo

kumbe jana haikuwa ndoto kwangu,wiki hii nilikutana na rafiki yangu kwa mualiko ambaye ameolewa lakni mmewe kamtelekeza kwa muda mrefu sana na umri unaenda na nilipokutana nae ktk maongezi aliniambia neno la kiingereza "we hv been friends for along time,i need u to show me that am ur friend,i hv a favour to ask u"nikamuuliza nini,wala hakujiuma aliniambia wazi kabisa kuwa anaomba nimpatie mtoto na mtu pekee aliyemuona ni mimi,nilishituka sana na akanisisitizia kuwa anamaanisha,na baadaye akalia kwa maneno aliyoniambia ila akaniahidi kuwa itakuwa siri yetu na ataitunza,kwakuwa ni rafiki yangu sana sikutaka kuvunja moyo nikamuomba anipe muda na tangu hapo ukaribu umezidi,nadhani nami nahitaji ushauri ukizingatia nilikuwa napinga sana kuzaa nje ya ndoa ingawa bado sijaoa na jibu linauliziwa kila mara na ameniambia wiki ijayo atakuwa ktk muda wake wa kupata mimba.
kwako chokochoko:
umechukua risk kubwa sana ila nakushauri sana huyo mtu hakikisha hajaoa,pili usimkimbie ukiwa mjamzito hakikisha unajifungua salama na kukaa kwa muda fulani mpaka utengamae,tatu usimuambie lengo lako huyo mtu ambaye unapenda kuzaa naye,nne hakikisha unapima vvu kabla ya kufanya mapenzi ambayo utayafakamia ili kutimiza lengo lako,tano ukiishia fanikiwa naomba urudi humu mmu kuna ushauri mwingine nimetunzia iwapo utatekeleza hayo namba 1-4.
Nimeona huruma sana juu yako natamani ningekuwa na hivyo vigezo vya mtu unayemtaka ila naona nitachukua mzigo kwa huruma na sio kupenda lakini nazidi kumuomba Mungu kwa ajili yako ili km ikiwezekana Mungu aingilie kati na kukutimizia hitaji lako na kukutoa katika jaribu hilo zito lakini nakumbuka kuwa kuna msitari kwenye biblia unasema kuwa Mungu hatashindana na mawazo ya mwanadamu.
Ila nimeona nisinyamaze kwa ninachojisikia moyoni kwa ajili yako kuwa UVUMILIE kidogo kwani wkt mwanadamu anapoona kuwa imefikia mwisho ndipo Mungu anapofungua njia kwa ajili yake,najiskia kuwa Mungu anataka kufanya kitu kwa ajili yako ila mpaka ushinde jaribu lililo ndani yako na utafurahia maisha yako siku zote na tofauti na hapo maamuzi unayoyafanya huenda yakawa mwiba kwako.
Think twice madam,hautashindwa kufurahia maisha ya milele mbinguni kwa sababu eti haukuolewa,kumbuka kuwa unapokuwa ktk shida kubwa akili ya mwanadamu hufunga ktk kuwaza na chochote kile kijitokezacho huwa ni sahihi kwake.Hili ni jaribu kubwa sana kwako na inakubidi ushinde la sivyonajisikia kukuambia kuwa utakuwa umeondoka ktk mipango ya Mungu juu yako hata km huyo Mungu hamjui ila yeye anakujua na kuna kitu anaanda kwa ajili yako,you are not too late.
NB:huu ushauri ndio nitakaompa huyu rafiki yangu tofauti na hapo nitasikiliza wan mmu mnashauri nini nami nitapima
Kuna watu nawafahamu vizuri they are single parent na wanalea watoto wao vizuri bila matatizo yoyote, sasa baada ya kusoma thread yako ya kipindi kile na baada ya kuja kusoma hii thread yako ya leo conclusion ninayopata ni kuwa hii ya kwako wala sio single parent bali you are too desperate just because uliishasema umri wako unaona umeenda na hauolewi sasa kama hayo ndio unayowaza nakupa pole kwanza you are too Desperate na ambayo you might come to regret it later.
Huyo mwanaume atayekupa mimba halafu umkimbie unafikiri ndio utakuwa umesolve tatizo this world is too small my friend think using your brain and not your head usije mbeleni huko ukatuletea thread nyingine tu kwamba sijui mtoto hivi mtoto vile we all live by our choices so its up to you to decide yours so that's my advice you can either take or leave.......Deuces
nitamwambia mtoto wangu ukweli SIKUOLEWA nilizaa tuuPls kwenye maamuzi yako mfikirie mtoto pia kukua bila kumjua baba wala kupata malezi yake
Just imagine ingekuwa wewe humjui baba yako
sasa unataka nifanyeje? Niendelee kusuburi hadi nifike 40yrs ndio niamue kuzaa? Mwanaume asie hitaji kunioa unazani atakua anaeshida na mtoto wangu?
mimi nachukua mimba kwa mpango wangu na ninasepa kivyangu sitataka kumsumbua mtu kwa matatizo yangu sipendi mwanangu anyanyapaliwe kisa kazaliwa nje ya ndoa never, nitamlea mwanangu pekeyangu kwa vile niliemuhitaji sio babake
I mis some point here, inamaana miaka 32 siku hizi ndio umri umekwenda? na hiyo menopose ni nini nifafanulie kwa kiswahili. lakini kikubwa wewe unasumbuliwa na msongo wa mawazo.nitamwambia mtoto wangu ukweli SIKUOLEWA nilizaa tuu
ili heshima yangu isipotee na baba yake hakuaanahitaji mtoto thats all.
Wangapi wanaishi na baba zao nyumba moja na hawapati hayo ''malezi ya baba''??