Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
And it doesn't if he is around but doesn't do anything for the child??That is true that they are worthless but It does make a big impact to a child if daddy isn't around.
Uzuri ni kwamba hamna niliposema wanaume wote hawana maana...Namaanisha kuwa kama kuna baadhi ya wanaume wasiotekeleza wajibu wao haimaanishi wanaume wote kwa ujumla hawana maana.
Tatizo gani.............???Hapana bali tatizo litaonekana kwa familia
Baba sio lazima awe biological...Naona hujanielewa vizuri, sikatai hao wajomba kuchukua majukumu pale ambapo mambo yameharibika (kifo, ugonjwa, ulevi, kuvunjika kwa ndoa n.k) ninacho pinga ni pale mdada anapoamua kujishikisha mimba kwa njemba yeyote kama sperm donor ili ajilele mtoto peke yake. Hilo ni kosa kwasababu inamnyima haki yule mtoto kuwa na baba katika maisha yake.
Wapo watu wana baba zao wazazi around ila wamenufaika zaidi na baba zao wakambo..wajomba..na marafiki wengine na ndio wanaowaangalia kupata mwongozo.
Kwahiyo mtu anapoamua kujitafutia mtoto sioni ubaya wake iwapo huyo mtu anajua ataweza kuyatosheleza mahitaji ya mtoto wake including giving him/her a good trusted and realiable male fugure to look up to .Baba aliyesababisha mtoto azaliwe sio lazima...baba mlezi ndio lazima maana hapo ndipo majukumu yalipo.