Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo!!habarini wakuu?
kiujumla mimi nilikuwa mshabiki mkubwa wa timu hii ya msimbazi,lakini kwa kutazama future ya timu hii nimegundua haipo vizuri,hali hiyo ikapelekea kutojihusisha nayo kwa muda ikiwa ni pamoja na kyupumzika kufuatilia soka la kibongo !
kuna rafiki yangu akanipigia simu na kuniuliza kuwa amesikia nimehama timu mimi nikamwambia kuwa sijahama timu,yeye akanishauri niende nikaondoe dought ktk tawi letu la klabu la hapa mpira pesa magomeni mikumi,mimi nikamwambia waambie kwa niaba yangu!
basi rafiki yangu huyu akawaambia jamaa yupo simba na hatoacha kushabikia simba,
mimi nilivyorudi nikasikia maneno hayo!na juzi katika ile mechi na mwadui ilivyoisha ninasema hivi"HUWEZI KUWEKA NADHIRI NA KLABU YA SOKA,MIMI NIMEACHA KUSHABIKIA SIMBA RASMI NA NAENDA KUTAFUTA CHANGAMOTO NYINGINE SEHEMU NYINGINE"
haiwezekani simba ininyime raha na arsenal ininyime raha...
hivyo nafikiria yanga au azam kuwa kimbilio langu wakati arsenal fc nitaitolea tamko tarehe 2 sept baada ya dirisha la usajiri kufungwa...
siku njema
habarini wakuu?
kiujumla mimi nilikuwa mshabiki mkubwa wa timu hii ya msimbazi,lakini kwa kutazama future ya timu hii nimegundua haipo vizuri,hali hiyo ikapelekea kutojihusisha nayo kwa muda ikiwa ni pamoja na kupumzika kufuatilia soka la kibongo !

Wasipopata furaha ndani ya simba wataipata kwingine!!
Acha uongo!!
NA-BET kuwa HAIWEZEKANI! Usiidanganye nafsi yako na kupoteza muda! Kuhama SIMBA hauwezi. Kubali tu matokeo kuwa timu iko ktk kipindi cha mpito ila itakuja kaa ktk mstari tu!!
Bahati nzuri mimi na wewe tunafanana maeneo mawili, mimi ni SIMBA damu na ni ARSENAL damu! Nimeumia sana sababu ya hizi timu mbili, zimeninyima sana raha ila SIHAMI hata waje NAVY SEALs kujaribu kunitoa! Kaza moyo ndugu, Arsenal kwanza itaanza kutupa raha si muda mrefu na Simba nayo usihofu!!
kiukweli simba inakatisha tamaa.. anyway ngoja tuone
Umesema hutaki tena ligi ya kibongo, halafu unasema tena unataka Yanga au Azam!... ikiwa ni pamoja na kupumzika kufuatilia soka la kibongo !
...
hivyo nafikiria yanga au azam kuwa kimbilio langu...
Wasipopata furaha ndani ya simba wataipata kwingine!!
Sasa tumeajir makocha toka ulaya,tena wa hali zote,wachezaj wa gharama,huduma zote muhimu,sasa unaliza tatizo nini?hakuna tatizo,matatizo anayo mtoa mada na ww mwenyewe cos simba imefanyia hvyo vyote na bado inafanya na maandakizi yanaendelea na ukumbuke ligi haijaanza tumecheza mechi za kujipima nguvu tumetoa droo mechi moja sasa hapo nan ana matatizo simba au nyinyi,anayeondoka kushabikia simba aondoke tu,sisi tutabaki na simba yetu hadi kieleweke mwaka huu.hivi hicho kipindi cha mpito simba mwisho wake lini???? maana kila msimu eti mpo kwenye kipindi cha mpito ili hali mmeajiri makocha toka ulaya, tena wa idara tofauti,,mmesajili wachezaji wa bei mbaya,, kambi za garama baab kubwa...huduma zote muhimu timu inapata sasa tatizo ni nini tena hapo jadi mtuambie mpo kwenye kipind cha mpito???
Nakuunga mkono,huwezi hamisha mapenzi ya timu yako cos inafanya vibaya,mwaka huu ni wetu tu ngoja tuoneUtakuwa shabiki wa digitali wewe......hivi wewe unaijua SIMBA ya DAVID NGONYA wewe........vichwa vya magazeti vilikuwa SAHAU HATA SAHAU na SIMBA 5 MECCO 5 fatilia ujue kwa nini magazeti yaliondikwa hivyo kati ya timu 20 tulikuwa tunakuwa wa 17, 18 az 19 na TU- SURVIVE NA TUPO MSIMBAZI itakuwa kuwa nafasi ya 4
habarini wakuu?
kiujumla mimi nilikuwa mshabiki mkubwa wa timu hii ya msimbazi,lakini kwa kutazama future ya timu hii nimegundua haipo vizuri,hali hiyo ikapelekea kutojihusisha nayo kwa muda ikiwa ni pamoja na kupumzika kufuatilia soka la kibongo !
kuna rafiki yangu akanipigia simu na kuniuliza kuwa amesikia nimehama timu mimi nikamwambia kuwa sijahama timu,yeye akanishauri niende nikaondoe dought ktk tawi letu la klabu la hapa mpira pesa magomeni mikumi,mimi nikamwambia waambie kwa niaba yangu!
basi rafiki yangu huyu akawaambia jamaa yupo simba na hatoacha kushabikia simba,
mimi nilivyorudi nikasikia maneno hayo!na juzi katika ile mechi na mwadui ilivyoisha ninasema hivi"HUWEZI KUWEKA NADHIRI NA KLABU YA SOKA,MIMI NIMEACHA KUSHABIKIA SIMBA RASMI NA NAENDA KUTAFUTA CHANGAMOTO NYINGINE SEHEMU NYINGINE"
haiwezekani simba ininyime raha na arsenal ininyime raha...
hivyo nafikiria yanga au azam kuwa kimbilio langu wakati arsenal fc nitaitolea tamko tarehe 2 sept baada ya dirisha la usajiri kufungwa...
siku njema
Nakuunga mkono,huwezi hamisha mapenzi ya timu yako cos inafanya vibaya,mwaka huu ni wetu tu ngoja tuone