Nimeamua rasmi kufunga biashara

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,223
Yani nimepata kahela kidogo baada ya kuachishwa kazi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe faini ya laki nne na nusu na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini.

Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya vinywaji baridi anaweza kuni PM fremu ipo Tabata Bima.

Ngoja nikalime tu.
 

Mkuu nimesikitika sana
 
Vipi hii iliishia wapi mkuu?? maana hii kitu ni adui wa biashara

Nina bahati ya kupendwa na wanawake wajawazito
 
Mmeanza waja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…