Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,223
Yani nimepata kahela kidogo baada ya kuachishwa kazi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe faini ya laki nne na nusu na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini.
Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya vinywaji baridi anaweza kuni PM fremu ipo Tabata Bima.
Ngoja nikalime tu.
Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya vinywaji baridi anaweza kuni PM fremu ipo Tabata Bima.
Ngoja nikalime tu.