SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Ndugu wanahabari wenzangu, ni mimi tena Sheikh Sayville mwenye visima vya mafuta ya alizeti.
Baada ya kutafakari kwa kina na kusikia vilio na maombi ya wengi, nimeamua kwa utashi wa moyo wangu kuwekeza katika soka.
Nimezingatia jinsi ninavyotumia muda mwingi katika mambo haya ya mipira, ni vyema nikapata chochote kitu badala ya kuwaachia kina GSM ambao ukimuuliza kama anamjua Edibily Lunyamila au Hamis Gaga atabaki tu kukwambia "Yanga Bingwa".
Hapa chini nimeambatanisha uwekezaji wangu wa awali na napanga kuongeza kiwango. Mdogo mdogo mtasikia na mimi nadhamini vilabu 5 vya ligi kuu.
PS. Mimi ndiye yule mwekezaji ambaye Mama yenu alisema atakuja kunitambulisha hivi karibuni. Nimeamua kuvunja protocol.