SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #21
Inaonyesha umeingia mjini juzi kama unadhani kila anayebeti anafanya hivyo kwa sababu ya umasikini. Pia hakuna uwekezaji usio na risk na pia kuteleza siyo kuanguka. Biashara za Trump (kama umeshawahi kumsikia) zilifeli na kufilisika mara sita na bado akaenda kuwa Rais.Hayo ni maneno ya kujifariji. Nmeeleza wazi weka mikeka mapema hapa tuone matokeo. Acheni kujaza watu upepo kuchangia makampuni ya kamari. Umasikini unao wewe unayebeti. Ukiwa na uhakika wa uzalishaji fedha huwezi angaika na kamari kama njia ya kipato.
Umeingilia mada kwa hasira huku hauelewi lolote kuhusu biashara, maisha, burudani wala jinsi ya kuzungumza na watu kwenye mitandao ya kijamii. Sijui nini utakuwa unajua.
Hii mada ilikuwa kama utani na kufurahishana, hakuna aliyeambiwa akabeti wala nini, wewe umeivamia na agenda zako ulizokosa pa kuzipeleka.