Nimeamua rasmi kuwa mwekezaji mkubwa katika soka la Tanzania

Inaonyesha umeingia mjini juzi kama unadhani kila anayebeti anafanya hivyo kwa sababu ya umasikini. Pia hakuna uwekezaji usio na risk na pia kuteleza siyo kuanguka. Biashara za Trump (kama umeshawahi kumsikia) zilifeli na kufilisika mara sita na bado akaenda kuwa Rais.

Umeingilia mada kwa hasira huku hauelewi lolote kuhusu biashara, maisha, burudani wala jinsi ya kuzungumza na watu kwenye mitandao ya kijamii. Sijui nini utakuwa unajua.

Hii mada ilikuwa kama utani na kufurahishana, hakuna aliyeambiwa akabeti wala nini, wewe umeivamia na agenda zako ulizokosa pa kuzipeleka.
 
Mkeka wake uone wewe unakuhusu nini hivi unajielewa kweli Yaani mkeka wake pesa yake halafu wewe utake kuona unakuhusu pesa ya mwanaume mwenzio unataka kuiona hii mbona Kali mzee tafuta hela umasikini unakupelekea kuwa mchawi ni kama hivi eti kabisa unasema aweke hapa uone umedata wewe na ugumu wa maisha sio bure
 
Nilichogundua unapenda maneno mengi. Ilikuwa ni jambo jepesi kwenda kwenye vitendo kutudhihirishia uwezo wako wa kubeti. Ok naona yaishe tu kama haupo tyr kuweka mikeka wazi.
 
Sasa kama mkeka wake kaweka pesa yake yanini kuja kujitapa kwenye hili jukwaa. Siangetulia tu aendelee kuwa mwekezaji mkubwa kama anavyosema.
 
Wewe ni nani hadi uniambie nifanye au nisifanye nini? Mbona unajipa umuhimu ambao hauna kwenye maisha ya watu
 
Sasa kama mkeka wake kaweka pesa yake yanini kuja kujitapa kwenye hili jukwaa. Siangetulia tu aendelee kuwa mwekezaji mkubwa kama anavyosema.
Kujitapa ni lazima maana wewe humjui na hakujui Sasa shida inakuja kwako kumpangia Cha kufanya wakati huna msaada wowote kwake
 
Wewe ni nani hadi uniambie nifanye au nisifanye nini? Mbona unajipa umuhimu ambao hauna kwenye maisha ya watu
Kwa hiyo ulifungua thread ili usifiwe tu sio. Nani alikuwa anahitaji kujua unabeti na unapiga mamilioni
 
Kwa hiyo ulifungua thread ili usifiwe tu sio. Nani alikuwa anahitaji kujua unabeti na unapiga mamilioni
Siku hizi wachawi mmeadvance sana. Mpo hadi mitandaoni kutafuta wa kuwaroga
 
Sasa kama unaakili za mambo ya kulogwa ndio utavuna mamilioni kweli
Kama warogaji mpo kwa nini nisiwe na wasiwasi maana ulicholeta katika uzi huu ni ulozi wa grade A mixer wivu wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…