Nimeamua rasmi nianze ku Date mishangazi TU na ikiwezekana nioe kabisa mmoja

Yesu karibu anarudi, jiandae
 
Vya 2000 tuachieni sisi Ma ankoz tuna match vibaya sana na hvy vitoto, havitaki mioto mikubwa km maanti, hivyo unajipigia kidogo unaeka mkono kubariki !
 
Endelea kuwatia Moyo mdada....ila mizigo Kama hiyo Ina wenyewe
 
Mweee huyu mnyamwezi mzaramo maana una maneno 🀣🀣🀣🀣
Wee mnyamwezi wa wapi? Igunga kwa rostam? 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…