Nimeamua rasmi nianze ku Date mishangazi TU na ikiwezekana nioe kabisa mmoja

Aahahahhaaa Mnyamweziii wa Igunga hulohuko wala hujakosea...🤣🤣🤣🤣🤣

Maneno yanatokea asili ya Tanga.
Hii combinega sii hatari kwa shemeji jamani maana hapo anapata mwanamke ambaye mauno anajua alafu mchapa kazi...aisee hawezi chomoa hapo
 
Hii combinega sii hatari kwa shemeji jamani maana hapo anapata mwanamke ambaye mauno anajua alafu mchapa kazi...aisee hawezi chomoa hapo


Umenikumbusha enzi nafanya kazi kwemye mradi mmoja, safari za kikazi wilayani na kwenye kata ilikuwa ndo Job Description. Hivyo mimi na team yangu ya watu 3 na dereva tulikuwa kama ndugu maana tunaweza kaa huko mwezi ndo tunarudi mjini na dodoso kadhaa kuandaa ripoti.
Ndani ya Mkonga aka land cruiser hard top usajili wa DFP tukitatiza boda kwa boda stori zilikuwa bandika bandua...

Siku moja nikawasimulia kuhusu eksi wangu mmoja aliyegoma kuniacha aligning'ang'ania utasema haoni wanawake wengine eehehehehee

Dereva akanitolea uvivu, sasa wewe Kasie, unakumbuka ulinunua kigoda pale Singida wakati tunarudi Dar na ukaniambia kazi yake bafuni...😅😅😅
Asa unafikiri huyo dume akiwaza uliyokuwa unamtendea atakubali kukuachia uende aahahahahaaa nilichekaaa...😄😄😄

Hiyo ya kigoda yenyewe wala haina maajabu, ni vile tuu tulifundwa mwanaume anaogeshwa akiwa amekaa bafuni sio asimame, na anakaa kwenye kigoda halafu shughuli zake unaziweka kwenye kisosi/kisosa cha udongo unakamulia ndimu....😜😜😜

Ngoja niishie hapo nsijeambiwa nabemenda watoto wa watu bureee....😁😁😁🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

NB; usasa umeharibu madikodiko waliyopata wanaume wa zamani, sijui kama kuna wanaoandaliwa maji ya mdalasini tena siku hizi ya kuoga au maji ya hiliki...
Ni kucheza na akili tuu, unamuondoa mawazo yote ya kutwa nzima huko alikokuwa aanakuwa kila akirudi nyumbani anawaza leo huyu mwanamama atanifanyia yepi....🤪🤪.
 
S
iku hizi tunakaa kwenye jacuzi wewe mambo ya maji ya iriki yamepitwa...mbupu kwenye kisosa hiyo kali
 
Kuna mshangazi ulikuwa mnene niliupata kipindi cha ujana, Alafu ulikuwa na mbuye ndogo inabana siyo poa. Usipo shirikisha maamuzi ubongo wako unaweza kuoa bila kutarajia. 🙂🙂🙂
 
S

iku hizi tunakaa kwenye jacuzi wewe mambo ya maji ya iriki yamepitwa...mbupu kwenye kisosa hiyo kali

Eehehehhee hayo hayo madikodiko yaliyokuwa yanawatoa nyoka pangoni enzi hizo....

Well siku hizi labda 2000 wanaujuzi mpya wa kwenye jacuzzi.... kikubwa kupata mashamsham tuu na kuburudika.

Hiyo ya kisosi acha kabisaa, ukikutana nayo unaweza aga kwenu.
 
Ah wee kisosa mie naitaka itabidi niende Tanga huko kwa wadigo
 
Hutajutia...
Masafi..
Yajuwa mapenzi...
Matamu...
Yajuwa kulea...
Yamekomaa kiakili..
 
Ah wee kisosa mie naitaka itabidi niende Tanga huko kwa wadigo


Kila la kheri, muhimu ubebe laptop yako na chaja ili ukiwa site kazi za kafiri zinaendelea ukiwa unakandwa na mafuta ya ufuta....

Ukisema uende ijumaa urudi jumapili jioni imekula kwako, kibarua kitaota mbawa.

Siku hizi huendi na kurudi, ukienda hurudi wabaki hukohuko......😅😅😅
Bila nguo kulowekwa kwenye maji aahahahaa.
 
Ah mambo ya kubaki ya nini tena wewe...mie principle yangu sii unaijua mnyamwezi wewe...mie nagegeda mara tatu tuu...baada ya hapo nasepa maana najua nitagundua kwapa sii zuri mara Tako limepinda
 
Huyoo shemeji yetu ni wazi anafaidi Sana ( sio kwa mahaba haya ya kulowekana Kama kimtoto kichanga ).....yaani weekend ni mwendo wa show show, mpk unasahau shida za Dunia hii kwa muda.....NDIO MAMBO NAPENDA SANA HAYAA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…