Nimeamua sasa nataka kula bata

Nimeamua sasa nataka kula bata

Sijui nimekuelewa zaidi ya maelezo?? Yaani ni kama wale watafuta mwenza hivi ila yako ni kistarabu zaidi
 
Sijui nimekuelewa zaidi ya maelezo?? Yaani ni kama wale watafuta mwenza hivi ila yako ni kistarabu zaidi
Nilishatafuta mbona hukuiona thread angu? Au hadi nilete mrejesho
 
Njooo hapa Nairobi mrembo tule bhata vzr kama n nauli sema nkutumie ukwee pipa chaaaap tuinjoy kwny mijj ya wenyw
 
Nataka kula bata next weekend, i want to enjoy ila sijui niende wapi.
Am an indoor person, hua sitoki toki so nitajien sehemu ambazo kutakua maybe na kashow au karaoke au event yoyote nzuri nzuri ili nisiwe bored.
Mnitajie na mda plus kiingilio kama kipo nijipange[emoji28].
Hata kama una harusi unaoa nialike[emoji23]una kipaimara sijui birthday party we nialike tu. Nimeuchoka u anti social ati.
Mkuu umekunywa Leo!?
 
Back
Top Bottom