Nimeamua tushirikishane kuhusu Biashara ya Mkaa

Kila la heri mkuu,Ni kukumbushe yafuatayo.

kuendelea kifuata sheria na taratibu zote za uvunaji na usafirishaji wa mkaa.

Hakikisha unajaza ujazo unao kubalika kisheria(50kg) kwenye kila gunia.

Lakini pia hakikisha mteja unaempelekea mzigo,ana usajili wa lingo.

Hakikisha idadi ya magunia iliyopo kwenye TP ni sawa na ile iliyo kwenye gari,usizidishe hata gunia 1.

Route ya Mbeya-Dar,Tukutane Checkpoint(...) karibu sana na kila heri
 

Well said bro
 
Asante madame. Haya nitayazingatia
 
Nimekupm mkuu. Naomba upitie tafadhali
 
Ha ha haa Mkuu. Upo check point gani? Inaonekana huna utani ukiwa mahala pakp pa kazi..Akizidisha hata gunia moja unataifisha gari nzima. Au siyo? Ha ha haa.
 
Mkuu wazo lako zuri achana na wanao - comment vby lkn nataka kusema kitu

kuliko ukate magogo uchome na shda kibao kwanini usinunue gunia kubwa kwa shiling za kitanzania 6,000 tu toka morogoro vijijini (sitopataja sababu za kikazi) location ntakupa PM ukipenda

ilagunia 5000 n nyingi

huu mzigo unakaa kwenye mzunguko siku ngap?
 
Ni kweli mkuu. Ila kule nasafisha shamba, so kufyeka ni lazima
 
Ha ha haa Mkuu. Upo check point gani? Inaonekana huna utani ukiwa mahala pakp pa kazi..Akizidisha hata gunia moja unataifisha gari nzima. Au siyo? Ha ha haa.
Niko checkpoint....
Hata sio mkali mkuu😂😂,ila tu ni katika kutimiza wajibu wangu
 
Niko checkpoint....
Hata sio mkali mkuu😂😂,ila tu ni katika kutimiza wajibu wangu
Ha ha haa, itakuwa Mkuu huwa unapanda mpaka kwenye FUSO unakagua gunia moja moja. Hakuna utani kabisa. Siyo tu kugonga TP na kuruhusu aende. Ha ha haa. Kazi njema hapo check point Mkuu.
 
Hivi MUNGU huileta mvua kwa ajili ya miti tu au kwa viumbe vyote vilivyo hai?

Inakuaje miti ikikatwa basi na mvua zisinyeshe?

Mbona hamsemi tusichinje wanyama ili mvua zinyeshe?

Natamani nikutane na mtu wa serikali anijibu maswali haya.
 
Mkuu naweza kupata ushauri namna ya kupata kibali cha kusafirisha mkaa?
 
Mkuu naweza kupata ushauri namna ya kupata kibali cha kusafirisha mkaa?
Hivi hawa wanaosafirisha kwa pikipiki, nao wana vibali/hupewa vibali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…