Nimeamua tushirikishane kuhusu Biashara ya Mkaa

Kila la heri mkuu,Ni kukumbushe yafuatayo.

kuendelea kifuata sheria na taratibu zote za uvunaji na usafirishaji wa mkaa.

Hakikisha unajaza ujazo unao kubalika kisheria(50kg) kwenye kila gunia.

Lakini pia hakikisha mteja unaempelekea mzigo,ana usajili wa lingo.

Hakikisha idadi ya magunia iliyopo kwenye TP ni sawa na ile iliyo kwenye gari,usizidishe hata gunia 1.

Route ya Mbeya-Dar,Tukutane Checkpoint(...) karibu sana na kila heri
 
Mkaa hauepukiki na hii roho mbaya haijengi mkuu.

Kwanza kuna usafishaji mashamba ambapo kama usiporuhusu tuchome mkaa basi tutayachoma tuu hayo magogo na hutopata faida wala sintopata faida ya fedha. Unadhani ni shilingi ngapi serikali itapoteza? Well, nitafyeka nichome moto. Halafu?

Pili chakula cha mkaa huwezi fananisha na cha kwenye gesi hata kidogo. Cha mkaa kitamu sana yaani.

Mkaa hauchomwi bila ruhusa ya serikali. Yaani panaruhusiwa kuvunwa eneo ambalo watu wanafungua mashamba. Sasa kwa akili yako hii utakataza watu wasifungue mashamba. Halafu? Mbaki kujipiga kifua kuwa "tuna eneo la kuilisha Afrika nzima".

Well said bro
 
Kila la heri mkuu,Ni kukumbushe yafuatayo.

kuendelea kifuata sheria na taratibu zote za uvunaji na usafirishaji wa mkaa.

Hakikisha unajaza ujazo unao kubalika kisheria(50kg) kwenye kila gunia.

Lakini pia hakikisha mteja unaempelekea mzigo,ana usajili wa lingo.

Hakikisha idadi ya magunia iliyopo kwenye TP ni sawa na ile iliyo kwenye gari,usizidishe hata gunia 1.

Route ya Mbeya-Dar,Tukutane Checkpoint(...) karibu sana na kila heri
Asante madame. Haya nitayazingatia
 
Nimekupm mkuu. Naomba upitie tafadhali
 
Ha ha haa Mkuu. Upo check point gani? Inaonekana huna utani ukiwa mahala pakp pa kazi..Akizidisha hata gunia moja unataifisha gari nzima. Au siyo? Ha ha haa.
 
Ni mkaa kutoka Chunya kwenda popote Tanzania kwenye soko zuri zaidi. Preferably mkaa uje Dar es Salaam kwa sababu ndiko kwenye soko la uhakika na lenye bei nzuri zaidi.

Nimesajiliwa kuzalisha mkaa kutoka Chunya kwa mwaka huu wa uzalishaji ila tatizo ni uhaba wa mtaji uliotokana na changamoto kadhaa zilizoibuka kati ya mwezi September na November.

Nilishatoa mkaa mwezi September kwenda Mbeya kwa hiyo tayari Nina ujuzi angalau wa usafirishaji halali wa mkaa.

Nakaribisha mtu mwenye mtaji tushirikiane naye. Mpaka sasa kuna maandalizi yanaendelea shamba ili kuendelea kuvuna mkaa. Potential ya mkaa pale ni gunia 5000.

Karibu kwa maoni yako na interested person anaweza kuja inbox

Asante
Mkuu wazo lako zuri achana na wanao - comment vby lkn nataka kusema kitu

kuliko ukate magogo uchome na shda kibao kwanini usinunue gunia kubwa kwa shiling za kitanzania 6,000 tu toka morogoro vijijini (sitopataja sababu za kikazi) location ntakupa PM ukipenda

ilagunia 5000 n nyingi

huu mzigo unakaa kwenye mzunguko siku ngap?
 
Ni kweli mkuu. Ila kule nasafisha shamba, so kufyeka ni lazima
 
Ha ha haa Mkuu. Upo check point gani? Inaonekana huna utani ukiwa mahala pakp pa kazi..Akizidisha hata gunia moja unataifisha gari nzima. Au siyo? Ha ha haa.
Niko checkpoint....
Hata sio mkali mkuu😂😂,ila tu ni katika kutimiza wajibu wangu
 
Ha ha haa, itakuwa Mkuu huwa unapanda mpaka kwenye FUSO unakagua gunia moja moja. Hakuna utani kabisa. Siyo tu kugonga TP na kuruhusu aende. Ha ha haa. Kazi njema hapo check point Mkuu.
 
Mkuu sio roho mbaya, nadhani roho mbaya ni ya yule ambaye anajua kabisa kuwa uwepo wa misitu unasaidia upatikanaji wa mvua na kutokana na mvua watu wanapata kulima na Mungu huwabarikia na kupata mazao

Sasa mtu anayetaka kusababisha ukame kwa kuangalia tumbo lake na familia yake na yule anayetaka kunufaisha watanzania na matumbo yao kwa ujumla tena huenda hata na majirani, yupi ana roho mbaya !?

Mimi nimesema naishauri Serikali ipunguze bei ya Gesi ili kuepuka tatizo hilo, wewe unaangalia tumbo lako tu, mkuu hujioni una roho mbaya sana?

Tuishauri serikali ifanye mamuzi magumu maana gesi tunayo nyingi tu sasa kwanini watuuzie mtungi15kg kwa 50,000/=?

Nadhani sasa umenielewa vizuri
Hivi MUNGU huileta mvua kwa ajili ya miti tu au kwa viumbe vyote vilivyo hai?

Inakuaje miti ikikatwa basi na mvua zisinyeshe?

Mbona hamsemi tusichinje wanyama ili mvua zinyeshe?

Natamani nikutane na mtu wa serikali anijibu maswali haya.
 
Ni mkaa kutoka Chunya kwenda popote Tanzania kwenye soko zuri zaidi. Preferably mkaa uje Dar es Salaam kwa sababu ndiko kwenye soko la uhakika na lenye bei nzuri zaidi.

Nimesajiliwa kuzalisha mkaa kutoka Chunya kwa mwaka huu wa uzalishaji ila tatizo ni uhaba wa mtaji uliotokana na changamoto kadhaa zilizoibuka kati ya mwezi September na November.

Nilishatoa mkaa mwezi September kwenda Mbeya kwa hiyo tayari Nina ujuzi angalau wa usafirishaji halali wa mkaa.

Nakaribisha mtu mwenye mtaji tushirikiane naye. Mpaka sasa kuna maandalizi yanaendelea shamba ili kuendelea kuvuna mkaa. Potential ya mkaa pale ni gunia 5000.

Karibu kwa maoni yako na interested person anaweza kuja inbox

Asante
Mkuu naweza kupata ushauri namna ya kupata kibali cha kusafirisha mkaa?
 
Back
Top Bottom