Nimeandaa popcorn zangu nasubiri Waraka wa Pasaka kutoka TEC. Mungu Ibariki Tanzania

Mwaka 2025 ni mwaka wa kipekee sana kwenye historia ya Tanzania.

Mungu anaenda kufanya jambo la kipekee sana kwenye hii nchi yetu.
 
Majuzi kulikuwa na kikao kizoto Sana sehemu fulani nimemuona mtu wa mipango matumizi, kitima na wenzie, mkuu wa magesi na n.k.
mwaka huu kitaumana naona JWTZ na TISS wazakendo wameamua liwalo na liwe!!
 
Majuzi kulikuwa na kikao kizoto Sana sehemu fulani nimemuona mtu wa mipango matumizi, kitima na wenzie, mkuu wa magesi,

mwaka huu kitaumana naona JWTZ na TISS wazakendo wameamua liwalo na liwe!!
TISS na JWTZ ina wazalendo wazuri sana ambao wanaofunikwa na wajinga wachache wanaonufaika binafsi na ufedhuli na CCM.

Ila saivi lazima tuwape support kubwa sana Wazalendo wachache waliopo TISS wanaotaka kuinyoosha kweli nchi hii ili iwe nchi salama kweli na yenye maendeleo ya kweli kwa Wananchi.
 
Majuzi kulikuwa na kikao kizoto Sana sehemu fulani nimemuona mtu wa mipango matumizi, kitima na wenzie, mkuu wa magesi,

mwaka huu kitaumana naona JWTZ na TISS wazakendo wameamua liwalo na liwe!!
Niliwaamini sana hao wakatoliki na kudhani wana nguvu, nikaweka na record ya karibuni ya wale maaskofu 20 wa DRC walichokifanya kwa Kabila, nikajua Bandari za Tanganyika zitabaki salama....wapi!

Sasa, mikopo ni kwa mtindo wa kuipiga nchi mnada, faida kwa visiwani, sioni lolote....

Katiba ina bakwa, raisi anayepaswa kumaliza term yake akalee wajukuu, ameanza kampeni mapema, mwanae akiwa ndo kama Katibu Mkuu kiongozi, mkwe akiwa ndo kama Mkuu wa Itifaki, wao kimyaaa.

Shilingi inaporomoka balaa, umasikini unakuwa kwa spidi ya mwanga, ripoti ya CAG na maneno ya Chura ni mbingu na ardhi, wao kimyaaa.

Udini na Uzanzibari umetamalaki, wao kimya!

Sio tu kuwa sina tena imani nao, ila imani imekufa kabisaaa.

Mkombozi wa waTanganyika anapaswa kuwa mTanganyika mwenyewe na UKOMBOZI wa mTanganyika utaanza na kifo cha sisiemu.
  • Na ni lazima tuanze upya, pia hakuna chama cha upinzani chenye mtu wa kweli mwenye nia na uzalendo wa kusonga mbele, hivyo, tuanze kusukana upya.
  • Turudi zero, tuanze upya.

Traore ameona mbali, hakuna demokrasia itakayoiletea maendeleo Africa. Lazima kuwe na sauti moja ya mamlaka isiyopingwa pingwa wala kujaribiwa, na ni lazima ikae muda mrefu kukamilisha maono kwa vitendo na kizalendo.
 
Hawezi kuwatisha TEC na hawezi kuwafanya lolote Maaskofu na Mapadre wakiamua kuongoza maandamano ya Kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Maua Mkuu 👉💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐💐💐💐💐🌻💐🌻🌻💐🌻💐💐🌻🌻💐💐💐🌻
 
Muda wa kutafutana na kufurumushiwa maneno kwa TEC kutoka sisyemu u-jirani nasi.Ngoja tuone.🤔
 
Mi nimeandaa juisi ya nanasi, nikitarajia watatoa kauli ya kukemea huu wizi mpya na mbaya uliopewa jina la kisanii (Ili kuficha ukali) la tone tone. Wasipofanya hivyo basi huo utakuwa ni UNAFIKI MKUBWA SANA. Na kama unafiki ndiyo umeamuliwa ku-lead the way, basi nasemaje;

Si kuunga mkono tu huo ushuzi Bali hata wakianzisha maandamano yao, wao kama wao, hawatofanikiwa kamwe kuitikisa nchi hii kwani Ina mizizi imara mno ya kutotikiswa na kikundi chochote kile kiwe Cha dini au vyovyote. Daima tutabaki salama.................

Anyway, hawajawahi kuwa rafiki kwa wa upande tofauti.....lazima wamtikise haswa (kwa kumbukumbu zangu) hata kama sababu ambayo haikuonekana kwa aliyepita (hata kama ilikuwepo kwa uwazi).

NB:
Mwenye waraka wa kukemea mauaji (kipindi kile) atupie humu tujikumbushe.
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa kipekee sana kwenye historia ya Tanzania.

Mungu anaenda kufanya jambo la kipekee sana kwenye hii nchi yetu.
Mungu wa wapi mkuu, huko unyumbuni?!!! Lipi hilo, kiasi kikubwa kuliko Cha tone tone kinaenda kukusanywa?!!!!
 
Mungu wa wapi mkuu, huko unyumbuni?!!! Lipi hilo, kiasi kikubwa kuliko Cha tone tone kinaenda kukusanywa?!!!!
Hapo "nyumbu" hasa ni yupi?Yule aliyeoneshwa njia njema aifuate na kupata tahfif au mleta ubishi na mng'ang'ania wezi wa tangu Uhuru mwaka 1961?
 
Hapo "nyumbu" hasa ni yupi?Yule aliyeoneshwa njia njema aifuate na kupata tahfif au mleta ubishi na mng'ang'ania wezi wa tangu Uhuru mwaka 1961?
Imekubalika humu jukwaani kuwa neno 'nyumbu' linamaanisha yule mfuata kauli au tendo lolote la lissu bila kuwa na uhuru au uwezo wa kuhoji, yaani ni yule mpigwa tone tone
 
Ukiacha udini na chuki kwa hao ulioamua kuwachukia sababu ya dini yao, utakuwa na hoja nzuri sana! Pia epuka kulishwa maneno na kina lissu yenye kudhalilisha utu wa mtu.
 
Imekubalika humu jukwaani kuwa neno 'nyumbu' linamaanisha yule mfuata kauli au tendo lolote la lissu bila kuwa na uhuru au uwezo wa kuhoji, yaani ni yule mpigwa tone tone
Mlikubaliana lini na nani kwa kipimo kipi cha ushahidi?
 
TISS wanajua hili ? Kuna watu 10 tu wakiwa eliminated nchi itabakia salamazaidi? .....muda ni mwalimu mzuri sanaa..waraka uko wapi? Vile vyombo vikae pembeni bila upendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…