Nimeandaa popcorn zangu nasubiri Waraka wa Pasaka kutoka TEC. Mungu Ibariki Tanzania

Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki.

Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki.

Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni rasmi agenda hii imekuwa rasmi Agenda ya Watanzania.

Kwa utafiti wangu mdogo niliyoufanya kuhusu maoni ya Wananchi tena wa kawaida kabisa, almost asilimia 98 wanakubali kuwa Chaguzi za Nchi yetu ni mazingaombwe na zinahitaji mabadiliko makubwa ili zifanywe kuwa huru na za haki. Ambapo tutapata viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi ili kuwapatia maendeleo ya kweli.

No Reform No Election sio ajenda ya CHADEMA. Ni ajenda ya Watanzania wote wanaoipenda kweli nchi yao na kuiwazia mema.

Nikiwa najiandaa na pasaka, macho yangu yote nayaelekeza kwa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.

Kutokana na historia ya Kanisa Katoliki kupigania tawala za Haki duniani, naamini hawatawaangusha Watanzania.

Nategemea waraka mzito kutoka TEC, ambao utatengeneza a new road map kuelekea kuipatia Tanzania mabadiliko ya kweli.

Nategemea Waraka utakaosema Maaskofu Katoliki na Mapadre wako tayari kuunga mkono maandamano ya amani kudai Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuipatia nchi yetu mifumo itakayowezesha tupate viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi.

Nategemea baada ya Waraka wa TEC, Tutapata waraka kama huo pia kutoka KKKT.

Nategemea watu wa Mungu kweli, Watafanya jambo la maana mwaka huu na Tanzani tutaenda kupata Mabadiliko ya Kweli.

Mungu ibariki Tanzania.
Mtoa mada unataka maaskofu kama hawa sio.

TISS wanajua hili ? Kuna watu 10 tu wakiwa eliminated nchi itabakia salamazaidi? .....muda ni mwalimu mzuri sanaa..waraka uko wapi? Vile vyombo vikae pembeni bila upendeleo
Yajayo yanafurahisha. Tunawategemea sana Baraza la Maaskofu Katoliki kutunyoshea nchi hii kuanzia sasa kwenda mbele.
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
TISS wanajua hili ? Kuna watu 10 tu wakiwa eliminated nchi itabakia salamazaidi? .....muda ni mwalimu mzuri sanaa..waraka uko wapi? Vile vyombo vikae pembeni bila upendeleo
Kwa uwezo wa Mungu utaanza kufa wewe kabla ya hao.......tena inaweza kuwa kifo kibaya na Cha aibu kabisa. Acha Mungu aitwe Mungu.
 
Masheigh wataita majini.

Majini walikwisha alikwa Kwa party mapema Sana kumsaidia mtu wao hasishindwae uchaguzi kilichobaki NI utekelezaji tu WA mipango haramu ya majini waislamu kuongozwa na kiongozi wa kike.
 
Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki.

Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki.

Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni rasmi agenda hii imekuwa rasmi Agenda ya Watanzania.

Kwa utafiti wangu mdogo niliyoufanya kuhusu maoni ya Wananchi tena wa kawaida kabisa, almost asilimia 98 wanakubali kuwa Chaguzi za Nchi yetu ni mazingaombwe na zinahitaji mabadiliko makubwa ili zifanywe kuwa huru na za haki. Ambapo tutapata viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi ili kuwapatia maendeleo ya kweli.

No Reform No Election sio ajenda ya CHADEMA. Ni ajenda ya Watanzania wote wanaoipenda kweli nchi yao na kuiwazia mema.

Nikiwa najiandaa na pasaka, macho yangu yote nayaelekeza kwa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.

Kutokana na historia ya Kanisa Katoliki kupigania tawala za Haki duniani, naamini hawatawaangusha Watanzania.

Nategemea waraka mzito kutoka TEC, ambao utatengeneza a new road map kuelekea kuipatia Tanzania mabadiliko ya kweli.

Nategemea Waraka utakaosema Maaskofu Katoliki na Mapadre wako tayari kuunga mkono maandamano ya amani kudai Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuipatia nchi yetu mifumo itakayowezesha tupate viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi.

Nategemea baada ya Waraka wa TEC, Tutapata waraka kama huo pia kutoka KKKT.

Nategemea watu wa Mungu kweli, Watafanya jambo la maana mwaka huu na Tanzani tutaenda kupata Mabadiliko ya Kweli.

Mungu ibariki Tanzania.
Na mimi baada ya siku 47 kutoka pasaka nitaenda kutoa Maagizo ya Mungu wangu Juu ya Taifa apa jf, kama mtumishi wake huru, asie mchungaji, sio mwalim,Askofu , sina kanisa na sitarajii maana Mungu hizo kazi hakuwai nipa bali kanipa moja tu la kunitumia na kufikisha ujumbe kwa wanadunia basi.
 
Hawezi kuwatisha TEC na hawezi kuwafanya lolote Maaskofu na Mapadre wakiamua kuongoza maandamano ya Kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Mark my words! Nchi hii hakuna, hajatokea na hatatokea Askari au Mwanajeshi atakayekuja kujaribu kumpiga au kumkamata Askofu au Padre anaeongoza maandamano ya Amani.

Hii inaweza kua Tamu sana.

Tunaanza kukusanyika makanisani, Tukitoka tunaenda Barabarani.
 
Back
Top Bottom