Nimeandaa tsh 100,000/= kwa ajili ya kubet

Nyoka kibisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
568
Reaction score
1,507
Habari wakuu?
Kama mada inavyojieleza nimeshaandaa sh laki moja kwa ajili ya kubetia kuanzia mwezi wa nane ligi kuu za nchi mbali mbali zitakapo anza kama epl,laliga,bundas n.k kwan msimu uliopita nlikuwa na weka dau kidgo kidg kama jero,buku nikijitahidi nilikuwa naweka buku mbili.

Ila safari hii dau langu nmepanga kuweka kuanzia buku 10 na kuendelea.

Ila kabla ya kutekeleza hili nimeona bora niwashirikishe labda mnaweza kunishauri na kunipa wazo na hata mikakati zaidi.

Karibuni.
 
I reserve my comments, at least for now...

=========================================

Karibu kwenye 'pango la wanyang'anyi'... Hapa ni kula au kuliwa tu... Na hawa wabetishaji ukiwala sana, wanaanza kukufanyia visa na kukuwekea vikwazo vya hovyo hovyo....
Kupata pesa kwa kubet ni sawa na kutoa chakula kwenye 'ulimi' wa mamba! You need to be tough!
 
Mwanzoni mwa legue utapiga pesa sana na mhindi atapata tabu sana. Ila mzunguko wa pili usi bet ni hatari kwa afya ya akili yako.
Kwa kweli umesema vyema maana round ya pili huwa haieleweki maana kuna timu zinagombania top 4 na zingne zinagombania kubaki ligi kuu yaan ni shida ahsant kwa ushauri
 
Jiandae kisaikolojia kuipoteza hiyo hela
Siku zote naamini moja wapo ya njia au mbinu ya kupata pesa ni kuthubutu na nishawahi kuthubutu ko ni kitu ambacho kidogo nna mwanga wange au A b c zake ngja tupambane bro
 
Inatakiwa mahesabu Makalu sana,beti note note kupunguza hasara,mwenye odd kubwa unaweka pesa kidogo ili kubalance,
Kumbuka ukiona odd ndogo,maana take hiyo time ndo in a probability kubwa ya kushinda,kwa hiyo unaweza kujitoa ufahamu na kuweka pesa ndefu ili ikiitika basis uvune pesa za kutosha,odd nzuri ni zinazoanzia na 2.
 
jitahidi kubetia amateur ligi.
Masuala ya kutoa magoli mengi ni kawaida.
Usipende kubet ligi kubwa kubwa hazina ishu.
 
jitahidi kubetia amateur ligi.
Masuala ya kutoa magoli mengi ni kawaida.
Usipende kubet ligi kubwa kubwa hazina ishu.
Kila la kheri. Ukikosa usikate tamaa.hao wajinga wawili walininyima Mil 1.5.ukikosa usipanic.
Ndo betting kupata au kukosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…