Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Habari wakuu?
Kama mada inavyojieleza nimeshaandaa sh laki moja kwa ajili ya kubetia kuanzia mwezi wa nane ligi kuu za nchi mbali mbali zitakapo anza kama epl,laliga,bundas n.k kwan msimu uliopita nlikuwa na weka dau kidgo kidg kama jero,buku nikijitahidi nilikuwa naweka buku mbili.
Ila safari hii dau langu nmepanga kuweka kuanzia buku 10 na kuendelea.
Ila kabla ya kutekeleza hili nimeona bora niwashirikishe labda mnaweza kunishauri na kunipa wazo na hata mikakati zaidi.
Karibuni.