Nimeandaliwa chai nimepiga teke

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,430
Najilaumu mno, huyu mpenzi wangu amenichemshia maziwa na mikate, nilikuwa na hasira tu hasa baada ya kuliangalia tumbo lake na usumbufu anaonipa.

Bado nina hasira mno mpaka muda huu. Chupa ya chai imevunjika na visosi vyote vimevunjika.

Napitia kipindi kigumu kiasi, napata hasira nikiliona tumbo lake.[emoji34] Arrrggghhhhhh!
 
Tumbo lake limefanya Nini!? Plz Kama humpendi mwambie na muachane SIPENDI WANAUME WANYANYASAJI WA WANAWAKE
 
Kwani mnatunyanyasa ivi ukiona mtu ana mapungufu usiyoweza kuyastaamili muache tu usimfanye ajisikie vibaya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa bhana! Hahaha! Hii computer yako kama sio kuingia maji sijui
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanzo ulivyompenda hukuliona
 
Jinyonge ili mikatili ipungue duniani walahi [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…