Ni kesi chache sana hasa kama kuna dalili za colon cancer polyps ndiyo zinaleta hayo matatizowanasema sometimes hupelekea bleeding ambayo huhitaji kuja kufanyiwa operation
daah nashukuru kwa kunitia moyo mkuu ubarikiwe sanasiku hizi zinatumika flexible endoscopy (zinajikunja) hizo side effects ni unlikely.
Nimeona wagonjwa zaidi 40 wakifanyiwa Endoscopy either kwa kupitia mdomoni na sehemu ya ajabu kubwa sijawai outcome ikiwa na bleeding unazozisema.
Ni vyema ukasubiri tu majibu,punguza hofu. Colon ni utumbo mkubwa nadhani hicho kipimo kitakuwa kinachunguza utumbo mpanawasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
unachoogopa ni nn hasa....gharama?
au tu kwa sababu utaingizwa kifaa kwenye njia yako ya ajabu kubwa?
Camera inaingia kwenye tigo yako hakuna madhara
Polyps ni uvimbe ambao unaweza kuwa cancer au isiwe cancer!mwili kila siku unatengeneza cells za kuulinda mwili mabilioni kwa mabilioni!huwa inatokea bahati mbaya katika uzalishaji wa seli zinakuwepo ambazo ni dhaifu au hazijatimia au zilizokufa!je hizo cells huenda wapi??huenda kukaa sehem na kujiunga kisha kutengeneza kama uvimbe(polyps or tumor)huu uvimbe huwa sio cancer lakini muda unavyokwenda uvimbe huongezeka hapo ndio saratani huanzia polepole bila we kujua!mkuu nashukuru sana
kwa pamoja mmenitia nguvu sana ,japo hii cancer polyps sijakuelwa hapa unazungumzia nini hasa
we mtaalamu wa afya? nimeona majibu yako sehemu tofauti tofauti yapo kijuzi zaidi,Likewise ni kuangalia utumbo mkubwa.
Mganga mfawidhi huyo mkuu, yupo deep sana full kushusha nondo tuwe mtaalamu wa afya? nimeona majibu yako sehemu tofauti tofauti yapo kijuzi zaidi,
aisee ni ugojwa wa ajabu sana,asante sana mtaalamuPolyps ni uvimbe ambao unaweza kuwa cancer au isiwe cancer!mwili kila siku unatengeneza cells za kuulinda mwili mabilioni kwa mabilioni!huwa inatokea bahati mbaya katika uzalishaji wa seli zinakuwepo ambazo ni dhaifu au hazijatimia au zilizokufa!je hizo cells huenda wapi??huenda kukaa sehem na kujiunga kisha kutengeneza kama uvimbe(polyps or tumor)huu uvimbe huwa sio cancer lakini muda unavyokwenda uvimbe huongezeka hapo ndio saratani huanzia polepole bila we kujua!
hii koment nimecheka sanaOh sawa aisee
Unajua tena shule tulienda Kama ratiba
nashukuru nitakutafuta baada ya vipimo mkuuKachukuwe kipimo harasa sana ukiogopa haita saidia. Hii inasaidia kuangalia Tumbo hasa kuhakikisha hauna Turmor tumboni ambayo inaweza kukuletee shida kupata choo au Tumor nyingine ni za cancer ya rectal or colorectal cancer. Cancer ya Tumbo imeongezeka sana TZ bila kujulikana sana nini ni chanzo. Unavyochewa kama ni tumor iko siku utaishia Emergency na bongo hawataweza kufanya surgery haraka haraka. Hivyo ni bora sana uwahi mapema ili kama ni tumor waiwahi kabla haijapasuka na kusambaa sehemu nyingine. Ukishafanya njoo nikupe maelezo baada ya vipimo lakini wahi kafanye. Nzuri ni ile ya kukulaza kabisa na kuangalia tumbo zima. Turmor sio lazima itoe damu
Aisee isifike kbsaa yaani na mfuko tena ...unanikumbusha yule ombaomba ktk mwendokasi anamikojo ktk kifuko inanuka na anaomba Pesa kibabeColonoscopy inaweza kukata na kipande cha tissue km kuna tumor au mass kwa ajili ya vipimo zaidi.usiogope mungu atakusaidia!
Uzuri wa utumbo hata kama una tatizo wanaweza kuukata na kuunganisha na pipe ingine.pia utumbo mpana unaweza kutolewa wote kisha pipe inaungwa hadi tumboni chini ya kitovu panatobolewa haja kubwa inakuwa inatokea hapo na kuingia katika mfuko maalum ambao mgonjwa utakuwa unaubeba na kutembea nao.lakini mungu atakusaidia haitafikia huko
Sky are you a doctor ??Camera inaingia kwenye tigo yako hakuna madhara