Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

siku hizi zinatumika flexible endoscopy (zinajikunja) hizo side effects ni unlikely.
Nimeona wagonjwa zaidi 40 wakifanyiwa Endoscopy either kwa kupitia mdomoni na sehemu ya ajabu kubwa sijawai outcome ikiwa na bleeding unazozisema.
daah nashukuru kwa kunitia moyo mkuu ubarikiwe sana
 
wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Ni vyema ukasubiri tu majibu,punguza hofu. Colon ni utumbo mkubwa nadhani hicho kipimo kitakuwa kinachunguza utumbo mpana
 
Ni kesi chache sana hasa kama kuna dalili za colon cancer polyps ndiyo zinaleta hayo matatizo
mkuu nashukuru sana
kwa pamoja mmenitia nguvu sana ,japo hii cancer polyps sijakuelwa hapa unazungumzia nini hasa
 
Colonoscopy inaweza kukata na kipande cha tissue km kuna tumor au mass kwa ajili ya vipimo zaidi.usiogope mungu atakusaidia!
Uzuri wa utumbo hata kama una tatizo wanaweza kuukata na kuunganisha na pipe ingine.pia utumbo mpana unaweza kutolewa wote kisha pipe inaungwa hadi tumboni chini ya kitovu panatobolewa haja kubwa inakuwa inatokea hapo na kuingia katika mfuko maalum ambao mgonjwa utakuwa unaubeba na kutembea nao.lakini mungu atakusaidia haitafikia huko
 
Polyps ni uvimbe ambao unaweza kuwa cancer au isiwe cancer!mwili kila siku unatengeneza cells za kuulinda mwili mabilioni kwa mabilioni!huwa inatokea bahati mbaya katika uzalishaji wa seli zinakuwepo ambazo ni dhaifu au hazijatimia au zilizokufa!je hizo cells huenda wapi??huenda kukaa sehem na kujiunga kisha kutengeneza kama uvimbe(polyps or tumor)huu uvimbe huwa sio cancer lakini muda unavyokwenda uvimbe huongezeka hapo ndio saratani huanzia polepole bila we kujua!
 
Kachukuwe kipimo harasa sana ukiogopa haita saidia. Hii inasaidia kuangalia Tumbo hasa kuhakikisha hauna Turmor tumboni ambayo inaweza kukuletee shida kupata choo au Tumor nyingine ni za cancer ya rectal or colorectal cancer. Cancer ya Tumbo imeongezeka sana TZ bila kujulikana sana nini ni chanzo. Unavyochewa kama ni tumor iko siku utaishia Emergency na bongo hawataweza kufanya surgery haraka haraka. Hivyo ni bora sana uwahi mapema ili kama ni tumor waiwahi kabla haijapasuka na kusambaa sehemu nyingine. Ukishafanya njoo nikupe maelezo baada ya vipimo lakini wahi kafanye. Nzuri ni ile ya kukulaza kabisa na kuangalia tumbo zima. Turmor sio lazima itoe damu
 
Pole mkuu, mimi nilifanyiwa Endoscopy mwaka 2011 pale kcmc. Ondoa hofu mkuu, Pole pia kwa yanayokusibu
 
Mimi nilikimbia endoscopy lakini ilikuwa ni keasababu ya vidonda vya tumbo
 
Polyps ni uvimbe ambao unaweza kuwa cancer au isiwe cancer!mwili kila siku unatengeneza cells za kuulinda mwili mabilioni kwa mabilioni!huwa inatokea bahati mbaya katika uzalishaji wa seli zinakuwepo ambazo ni dhaifu au hazijatimia au zilizokufa!je hizo cells huenda wapi??huenda kukaa sehem na kujiunga kisha kutengeneza kama uvimbe(polyps or tumor)huu uvimbe huwa sio cancer lakini muda unavyokwenda uvimbe huongezeka hapo ndio saratani huanzia polepole bila we kujua!
aisee ni ugojwa wa ajabu sana,asante sana mtaalamu
 
Kachukuwe kipimo harasa sana ukiogopa haita saidia. Hii inasaidia kuangalia Tumbo hasa kuhakikisha hauna Turmor tumboni ambayo inaweza kukuletee shida kupata choo au Tumor nyingine ni za cancer ya rectal or colorectal cancer. Cancer ya Tumbo imeongezeka sana TZ bila kujulikana sana nini ni chanzo. Unavyochewa kama ni tumor iko siku utaishia Emergency na bongo hawataweza kufanya surgery haraka haraka. Hivyo ni bora sana uwahi mapema ili kama ni tumor waiwahi kabla haijapasuka na kusambaa sehemu nyingine. Ukishafanya njoo nikupe maelezo baada ya vipimo lakini wahi kafanye. Nzuri ni ile ya kukulaza kabisa na kuangalia tumbo zima. Turmor sio lazima itoe damu
nashukuru nitakutafuta baada ya vipimo mkuu
 
Colonoscopy inaweza kukata na kipande cha tissue km kuna tumor au mass kwa ajili ya vipimo zaidi.usiogope mungu atakusaidia!
Uzuri wa utumbo hata kama una tatizo wanaweza kuukata na kuunganisha na pipe ingine.pia utumbo mpana unaweza kutolewa wote kisha pipe inaungwa hadi tumboni chini ya kitovu panatobolewa haja kubwa inakuwa inatokea hapo na kuingia katika mfuko maalum ambao mgonjwa utakuwa unaubeba na kutembea nao.lakini mungu atakusaidia haitafikia huko
Aisee isifike kbsaa yaani na mfuko tena ...unanikumbusha yule ombaomba ktk mwendokasi anamikojo ktk kifuko inanuka na anaomba Pesa kibabe
 
Back
Top Bottom