Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

Mkuu endoscopy haina nusu kaputi,maana nilijaribu kufanya hivyo ikashindikana kumeza ule mpira huku unaona yataka moyo,na hakuna kipimo kingine zaidi ya hicho kwa ajili ya vidonda vya tumbo

Acha kukurupuka. Mwenzio alofanyiwa colonoscopy ile ya kupitia mku*nduni.
Na sio endoscopy ya kupitia puani, kooni, tumboni
 
Back
Top Bottom