Nimeangalia picha ya binti wa Mtuhumiwa Mohamed Ling'wenya inayosambaa, Watanzania tukubali tuna viongozi katili wasio na utu

... mnatamani kuona picha ya binti mdogo akidhalilika? Ajabu sana!
Kama picha ni too graphical unaweza kutoa maelezo yake kiaha sisi wazee wa connection tukajua tunaipataje.
.

Unasema picha inasambaa, hata hii hapa chini inasambaa pia.
Haya ipe maelezo
 
Natamani hili bandiko alione Hangaya,Kipindi kile tulipiga sana kelele Kwa Mungu hatimaye Mungu alijibu maombi yetu!Hata hili atatujibu tu muda ndio utaongea!
 
Mbona Nyerere alisweka ndani watu na aliweza kukaa madarakani miaka 21? Na alikuwa anaenda kanisani kila siku.
Huu ni UONGO mwingine mkubwa,President Nyerere(rip)hakuwaweka wapinzani wake wa kisiasa jela,alichofanya aliwapa kitu kama house arrest na walikua na uhuru wa kuzungukwa na wapendwa wao(family)
 
HAYA YOTE YANAPELEKEA UONGOZI KUWA NA MIKOSI KILA KUKICHA
 
Kuumiza wasio na hatia kisa siasa au wanatishia shibe zenu kunakuaje ni kuhatarisha usalama wa Taifa.
Ungeseme usalama wa Taifa la tumboni ungeeleeweka zaidi.
 
Mbowe ataumiza watu wengi sana- halafu mijItu inamshangilia OH TUNA IMANI NA MBOWE
 
leo ndio mmeamka baada ya mbowe kuwa jela mnakuja mnaongea saana mitandaoni walipofungwa masheik mbona hamkusema kitu mwacheni mbowe alambe miaka 40 jela
 
Mbona Nyerere alisweka ndani watu na aliweza kukaa madarakani miaka 21? Na alikuwa anaenda kanisani kila siku.
Kwahiyo kama Nyerere alifanya ndio Kila anayekuja amuige ama? Kosa haliwez kuhararishwa kwa kufanya kosa nahisi ubongo wako utakuwa umejaa kamasi ndio maana una mawazo mgando.
 
Kwa akili zako chache unadhani kuna mtu anazaliwa akiwa gaidi.na haujiulizi chanzo cha hao magaidi ni nini.Nakukumbusha tu kua haki ndiyo inayoleta utulivu na amani.mengine jielimishe mwenyewe.
 
Kwa hiyo hata picha za mabinti ambao baba zao ni majambazi ziwe kigezo cha kuonea huruma watu?
 
Nchi yetu imetekwa na kusimamiwa na wasiojulikana,wanaweza kufanya lolote na hakuna wa kuwafanya chochote.Hakuna aliye salama:Siyo spika,waziri,mbunge,mwanaccm au mpinzani,mtumishi yeyote wa umma/binafsi,mkulima,mvuvi,mfugaji,mkwezi au mgema.Wananyakua yeyote,popote na kivyovyote bila kuzingatia sheria yoyote hapa Tanzania au mbinguni.
Inasikitisha zaidi unapobaini kwamba hawa Super Tanzanians walivyojipa kinga-Above any Laws and They are Untouchables.
We are all their preys!
 
Huyu mama anawezaje kujiita muislamu safi huku akijua haya anayowafanyia kina Mbowe na wenzake ni ukatili? Ndio maana huwa sishangai ninapoonabaadhi ya members wa humu JF wakidhihaki hizi dini tulizoletewa
Unataka aingilie muhimili wa mahakama?
 
Pale akili yote ikitoka kichwani na kuhamia tumboni, ndiyo huja na mawazo kama haya ya kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…