Nimeangalia picha ya binti wa Mtuhumiwa Mohamed Ling'wenya inayosambaa, Watanzania tukubali tuna viongozi katili wasio na utu

Mbona Lisu hakuwa na huruma na sisi aliposema tutashitakiwa MIGA?
Pole sana kwa kiwango 'chako' cha uelewa;
1. Tanzania bado ni mwanachama HAI wa MIGA The Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) is an international financial institution which offers political risk insurance and credit enhancement guarantees.
2. Lissu alitoa tahadhari kwa mwanachama anapovunja masharti aliyoyakubali mwenyewe.
3. Hivi hiyo HURUMA unayoizungumza hapo sijui ndio ipi?
Ungeenda 'kubukua' japo kidogo kwenye mitandao ungeshajua kuwa ulikuwa hujui, HIVI kweli hauoni aibu kuendelea kuwa wa hivyo?
 
Una uhakika watu wakijitokeza na kusema Rais aangalie namna yankulimaliza suala la hao watu,kwamba hawatashambuliwa kuwa hawajatumwa na wahusika kutafuta muafaka?
 
Tumuachi Mungu kwani ana masikio na macho atatoa hukumu ya kweli.
 
Hata Hangaya akitoka madarakani usitegemee hao watu wataachwa hivi hivi.

Dola ni shetani kamili.

Ukitafuta LEAGUE na Dola pambana kivyako.

Usianze kulia lia kutafuta huruma kwa watu wakati ulikuwa unajitafutia ugali wako.
Ok Ila Mungu atakaposhusha upanga wake wa moto, msijetupangia maneno ya kuyaongea.
 
Tumuachi Mungu kwani ana masikio na macho atatoa hukumu ya kweli.
Kila jambo ukisema tumuachie Mungu, je wale wasioamini uwepo wa Mungu wakidhulumiwa, wakiibiwa, wakipigwa au kunyang'anywa mfano nyumba za urithi nk haki zao watazipataje? Lazima kuwepo chombo (mahakama) ambacho kitasimamia haki za watu wote wanao amini uwepo wa Mungu, na wale wasio amini pia.
 
Huu ni UONGO mwingine mkubwa,President Nyerere(rip)hakuwaweka wapinzani wake wa kisiasa jela,alichofanya aliwapa kitu kama house arrest na walikua na uhuru wa kuzungukwa na wapendwa wao(family)
Ucha ujinga wewe. Usilolijua liache
 
Huu ni UONGO mwingine mkubwa,President Nyerere(rip)hakuwaweka wapinzani wake wa kisiasa jela,alichofanya aliwapa kitu kama house arrest na walikua na uhuru wa kuzungukwa na wapendwa wao(family)
Kichwa chako ni kitupu kabisa... huyo mtu alikuwa ni hatari JPM akasome. Labda tu kwasababu alikuwa mwanadiplomasia kuliko Magu ila alikuwa hatari zaidi. Jipe muda google matukio ya baada ya uhuru ujue yaliyowakuta watu.
 
Mbowe ataumiza watu wengi sana- halafu mijItu inamshangilia OH TUNA IMANI NA MBOWE
Mbowe ni shujaa wa kweli hii iko wazi kabisa.
Pamoja na vitisho, vishindo vyote yuko imara na CHADEMA iko imara.
Nenda kawajulishe wenzio na wenzenu kuwa TUNA IMANI NA MBOWE.
 
d
Mbona Lisu hakuwa na huruma na sisi aliposema tutashitakiwa MIGA?
Duh kumbe Tanzania kuna watu wana vichwa ngumu sana!!!!!!!!! Point unapewa zikom clear lakini badala ya kujadili point hizo unageuza mjadala! dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…