Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 291
- 798
Not for you anyway!!Huko shuleni mlisomea ujinga?
Mkuuu kwani Watusi Tanganyika hawapoRamani ya mkoloni ndiyo inasema hivyo tu.Usichokijua ni kwamba bora hawa wazee wa misuli lakini sio watusi mtajuta milele kuwa nao
Mkuuu kwani Watusi Tanganyika hawapo!??Ramani ya mkoloni ndiyo inasema hivyo tu.Usichokijua ni kwamba bora hawa wazee wa misuli lakini sio watusi mtajuta milele kuwa nao
Kabisa mkuuSio ndugu tu ni mikoa yetu makuu... Serikali ndio inasahau tu hii mikoa.
Ningekua bungeni hii hoja tungeijadili
Wapo lakini si wasukuma au watusi gani? Kitu usichokijua ukipata sehemu moja ina watusi,wahima,wahaya na wanyankole hiyo sehemu itakuwa ngumu mwingine kutawala labda mkubali kuwaleta pamoja then mtawaliweMkuuu kwani Watusi Tanganyika hawapi
Ngara yote na Kigoma watusi wamejaaa, vipi hakutwaliki?. Kwa ufupi ni kwamba yale makabila mawili makubwa ya Burundi na Rwanda, muuundo wake ndiyo huo huo ngara, kakonko, Kibondo,Kasulu, buhigwe na Kigoma kaskazini!Wapo lakini si wasukuma au watusi gani? Kitu usichokijua ukipata sehemu moja ina watusi,wahima,wahaya na wanyankole hiyo sehemu itakuwa ngumu mwingine kutawala labda mkubali kuwaleta pamoja then mtawaliwe
weka ramaniNilikuwa naangalia Ramani ya Africa mashariki. Nikaangalia kwa makini Ramani ya Tanzania, unyoofu wake na kulinganisha unyoofu huo na Nchi zote zinazotunguka.Ni wazi Rwanda na Burundi ni Ndugu Zetu Kabisa.Sijui ilikuwaje Mwalimu akawafata Wanzanzibari na kuwaacha hawa ndugu zetu.
Hawa wanapaswa kuwa Makaba ndani
yaTanganyika,Wahangaza kwa Kagame na Waha kwa Ndayishimiye. Hawa ni wenzetu, tufanya hima warudi kundini.
Wapo kiwizi.Usichokijua ngara wengi ni warundi ambao ukimpata mtusi ni mchanganyiko wa wahutu na watusi kama akina Ntibazonkiza ila sio watusi pure.Jamaa yangu watusi ni hatari nyingine hapa duniani(ni wabaguzi,wana dharau,jeuri,wanajua fitna mhaya akasome)Ngara yote na Kigoma watusi wamejaaa, vipi hakutwaliki?!
Wewe ndio umeona leo?Nilikuwa naangalia Ramani ya Africa mashariki. Nikaangalia kwa makini Ramani ya Tanzania, unyoofu wake na kulinganisha unyoofu huo na Nchi zote zinazotunguka.Ni wazi Rwanda na Burundi ni Ndugu Zetu Kabisa.Sijui ilikuwaje Mwalimu akawafata Wanzanzibari na kuwaacha hawa ndugu zetu.
Hawa wanapaswa kuwa Makaba ndani
yaTanganyika,Wahangaza kwa Kagame na Waha kwa Ndayishimiye. Hawa ni wenzetu, tufanya hima warudi kundini.
Kumbe nabishana na mtu ambaye hajui chochote. Hakunaga kitu cha mchanganyiko wa wahutu wa watusi. Burundi na Rwanda wanajitambulisha kwa makabila matatu, watusi, wahutu na watwa. Ukija Tanzania watu hawa hawa wako combined ndani ya kabila linaitwa Waha Kigoma, ( hasa kwenye sehemu nilizotaja hapo juu) na Wahangaza Ngara.Wapo kiwizi.Usichokijua ngara wengi ni warundi ambao ukimpata mtusi ni mchanganyiko wa wahutu na watusi kama akina Ntibazonkiza ila sio watusi pure.Jamaa yangu watusi ni hatari nyingine hapa duniani(ni wabaguzi,wana dharau,jeuri,wanajua fitna mhaya akasome)
Naaaam mkuu, Leo ndiyo nimeangalia hiyo ramani vizuri kwenye kipande hichoWewe ndio umeona leo?
Sasa unasema sijui wakati huku ni kwetu we jamaa hujui watusi tulia uliza wanaojua achana na stori.Ngara haina mtusi pure.Watusi wapo maeneo kidogo ya Benako,ukienda kimisi na maeneo kidogo ya karagwe unapata wahima,ukienda Muleba kuna watusi lakini wainaitwa walalo.Hujui kitu tulia siku mkipata kuishi na watusi mtatubuKumbe nabishana na mtu ambaye hajui chochote. Hakunaga kitu cha mchanganyiko wa wahutu wa watusi. Burundi na Rwanda wanajitambulisha kwa makabila matatu, watusi, wahutu na watwa. Ukija Tanzania watu hawa hawa wako combined ndani ya kabila linaitwa Waha Kigoma, ( hasa kwenye sehemu nilizotaja hapo juu) na Wahangaza Ngara.
Ha ha ha ha ha, we ndiyo haulewi mkuu. Wangaza, ukiwapeleka Burundi automatically utapata wahutu, watusi na watwa, hivyo hivyo Waha hasa wa mpakani.Sasa unasema sijui wakati huku ni kwetu we jamaa hujui watusi tulia uliza wanaojua achana na stori.Ngara haina mtusi pure.Watusi wapo maeneo kidogo ya Benako,ukienda kimisi na maeneo kidogo ya karagwe unapata wahima,ukienda Muleba kuna watusi lakini wainaitwa walalo.Hujui kitu tulia siku mkipata kuishi na watusi mtatubu