Nimeangalia Ramani ya Afrika mashariki, Burundi na Rwanda ni ndugu zetu kabisa

Nimeangalia Ramani ya Afrika mashariki, Burundi na Rwanda ni ndugu zetu kabisa

Ha ha ha ha ha, we ndiyo haulewi mkuu. Wangaza, ukiwapeleka Burundi automatically utapata wahutu, watusi na watwa, hivyo hivyo Waha hasa wa mpakani.
Ona huyu.wahanganza ufanano wao na wahutu ni lugha tu.Wahutu na wahangaza sio kitu kimoja ndugu.Kihangaza na lugha za Burundi ni sawa lakini kuna utofauti kidogo tu ambao ni sawa ukute mnyambo na mhaya unaweza sema ni sawa lakini tulia kwanza uliza wenyeji watakusaidia usipumbazwe na story za kusikia.
 
Ona huyu.wahanganza ufanano wao na wahutu ni lugha tu.Wahutu na wahanga sio kitu kimoja ndugu.Kihanga na lugha za Burundi ni sawa lakini kuna utofauti kidogo tu ambao ni sawa ukute mnyambo na mhaya unaweza sema ni sawa lakini tulia kwanza uliza wenyeji watakusaidia usipumbazwe na story za kusikia.
Narudia tena huelewi hoja unayoongea. Ibaki hivyo.
 
Narudia tena huelewi hoja unayoongea. Ibaki hivyo.
Kila la kheri usichokijua ni sawa na usiku wa giza.Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Tanganyika ni kipindi cha mkoloni sio wakati huu.Labda shuleni ulikuwa unasindikiza wenzako.Unasema Ngara kuna watusi? wapi hao?nimekulia jimbo la Rulenge Ngara,nikasoma St.Alfred Rulenge,nachokueleza hapa najua.Unashindwa kutofautisha wahutu,wahangaza na watusi.

Ngara haina mtusi ata wa mkopo.Watusi wapo Benako kwenda Rusumo.Wahutu kadhaa wapo Ngara kwenda Kabanga acha kuongea vitu usivyojua
 
Benako, Rusumo na Kabanga ziko wapi?!
Unajua mkuu utakuwa wewe siyo mzima!!
Shida yako kinachokuchanganya ni majina, Wahangaza au Waha. Ndiyo maana nikakueleza, chukua hao Wahangaza na hao Waha, wapeleke Burundi na Rwanda, automatically watajikuta ni watusi na wahutu. NILIKUWEPO!
 
Ngara yote na Kigoma watusi wamejaaa, vipi hakutwaliki?. Kwa ufupi ni kwamba yale makabila mawili makubwa ya Burundi na Rwanda, muuundo wake ndiyo huo huo ngara, kakonko, Kibondo,Kasulu, buhigwe na Kigoma kaskazini!
Hakuna kabila la Watusi Tanzania,kati ya makabili mengi Tanzania hakuna kabila la kitusi
 
Benako, Rusumo na Kabanga ziko wapi?!
Unajua mkuu utakuwa wewe siyo mzima!!
Shida yako kinachokuchanganya ni majina, Wahangaza au Waha. Ndiyo maana nikakueleza, chukua hao Wahangaza na hao Waha, wapeleke Burundi na Rwanda, automatically watajikuta ni watusi na wahutu. NILIKUWEPO!
Waha sina habari nao zaidi nimeweaona kipindi nipo Kanembwa.Wewe usichojua unachanganya ufanano wa lugha kitu ambacho sio utambulisho wa hawa watu.Wahutu na watusi wanatofautishwa kwa muonekano sio lugha acha kusoma vitabu.Kwamba mhangaza apelekwe Burundi au Rwanda awe sehemu ya hiyo jamii(unanipotezea muda hapa).Utofauti wao sio lugha ni physical appearance.Wahutu ni +short wakati watusi ni minus short ndio tofauti ambayo wazawa tunajua.Kaulize kwanza kabla ya kuleta story za vitabuni hapa.Mama ni mtusi baba ni mhaya najua vizuri nachokueleza hapa.
 
Nilikuwa naangalia Ramani ya Africa mashariki. Nikaangalia kwa makini Ramani ya Tanzania, unyoofu wake na kulinganisha unyoofu huo na Nchi zote zinazotunguka.Ni wazi Rwanda na Burundi ni Ndugu Zetu Kabisa.

Sijui ilikuwaje Mwalimu akawafata Wanzanzibari na kuwaacha hawa ndugu zetu. Hawa wanapaswa kuwa Makaba ndani ya Tanganyika,Wahangaza kwa Kagame na Waha kwa Ndayishimiye. Hawa ni wenzetu, tufanya hima warudi kundini.
Nyerere angeichukuwa Rwanda halafu akawahamisha wasukuma wakaenda kuwazalisha wanawake wa kitusi ili kuwapoteza watusi pale ingekaa vyema sana
 
Nyerere alitukosea sana kutuunganisha na makobazi wa Zanzibar kulikojaa wanawake shape ya Samia, akaacha Rwanda kwenye wanawake wazuri.
 
Unavyosema Wahangaza sijui waha ni watusi unamaanisha nini
Waha na wahanganza, ni jamii Moja na watusi, wahutu na watwa wa Burundi na Rwanda! Mchanganyiko wa hao watu Burundi na Rwanda ndiyo mchanganyiko huo huo, Kigoma na Ngara. Tofauti hawa wanajiita Waha,hawa Wahangaza. Siyo kutoka kwenye vitabu, its personal experience!
 
Wakati wa ukoloni wa wajerumani, Tanganyika, Burundi na Rwanda zilikuwa nchi moja iliyokuwa inaitwa Germany East Africa.
 
Back
Top Bottom