NIMEANGUKA!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Jamaa akiwa kalala chini na juu ya dabodeka kalala mdada!

Ilipofika nait kali jamaa akaanza kujivuta mdogomdogo kupanda juu alivyofika akawa anampapasa huyo dada!

Dada:haaahh wee kaka vipi unafanya nini huku juu??!!
Jamaa:daahhh nisamee bana nimeanguka
 
Hahah!! Jamaa alikua mwezini hakuna Gravitation naona kaanguka kutoka chini kwenda juu
 
jamaa muoga tuuu, demu mwenyew alikuwa anaota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…