Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Baada ya kuachana na manzi ex wangu, nilijikuta na fall in love na manzi mmoja wa mtaani..

Tulikuwa tunapishana mara kwa mara, mtaani sa siku moja usiku tulikutana kiyepe point, so siku ile alikuwa kaagiza kidali na zege..

Mm kama kawaida yangu huwa na chukua ndizi za kukaanga na nyama choma.

Bahati mbaya sijui alikuwa kadondosha hela, basi wakati a najiuliza aende then arudi ni kafanya kumaliza mchezo, then atanirudishia. Maana najua anaishi maeneo karibu na ninapoishi..

Basi bwana, tukatokea kuzoeana tokea ile siku, binafsi nilijua ni demu mdangaji, ila sio kivile.. Kama kawaida yangu ile siku niliomba namba kama kawaida yangu basi stori za hapa na pale, ikafikia mahala akaanza kuwa anakuja magetoni.

Nilivyo kuwa nadhani labda atakuwa kama mademu mashauzi wa mtaa, ila aisee she's well mannered..

Ila ndugu zangu, huyu mtoto kashaniteka akili na mwili ndugu zangu, anachonipea kitandani sijawahi kupewa toka nizaliwe.

Mademu wa mtaa ni gems kwa kweli. Nacho jua yule sio wa kuweka ndani maana, hana sifa hizo.. ila nimeshikwa mazee.. Yaani anajua kwich kwich ni hatari sana

Nafinyiwa kwa ndani mpaka natamani nipotee yaani ni desolve wakati wa tendo maana utamu niupatao si wa nchi hii..

Wanawake wa mtaani ni watamu ndugu zangu.. Nyie mnao fikiri mademu wa kishua na geti kali ndo kila kitu mna miss out sana..

Nilidhani the art of sex mpaka mtu asomee ila kwa huyu nahisi ana talent.
 
Hongera sana mkuu lakini suala la kuoa ni kazi sana kulichambua kama mwanamke hujawahi kuwa naye kwenye mahusiano.
Kwa nini huyo humfikirii kumuoa? Umebaini changamoto gani ambazo zimekupa shaka? Je, ni hofu tu kwa vile ni binti wa kitaa?
 
Hatuoi kwa sababu mwanamke unampenda, tunaoa kwa kuangalia ufahamu wa upeo wa mwanamke katika kumudu majukumu yake na ya familia/ watoto pamoja na heshima.
She's capable ila naogopa kuchukua risk na sijui familia yake wana mindset gani pia. Si unajua ukishaoa unaoa mtu na historia zake
 
Back
Top Bottom