Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

She's capable ila naogopa kuchukua risk na sijui familia yake wana mindset gani pia. Si unajua ukishaoa unaoa mtu na historia zake
Katika kuoa mambo ya msingi ni hayo tu mkuu mengine yana nafasi ndogo sana. Maisha ya mahusiano ya mke na mume huwa yanafika wakati mnajikuta mnaishi kawaida sana. Mtu akishakuwa karibu nawe muda wote/mwingi anapoteza ladha lakini mnavuliana na siku zinasogea.
Hakikisha tu upendo wenu uwe balanced.
 
Sahihi let's see what the future holds
 
Li Gen Z kwenye moja na mbili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…