Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

Tafuta hela mkuu
 
Hongera sana....ameshaanza kusogeza baadhi ya ngui kwako....?
 
Unajisifu kuzini
 
Hongera sana mkuu lakini suala la kuoa ni kazi sana kulichambua kama mwanamke hujawahi kuwa naye kwenye mahusiano.
Kwa nini huyo humfikirii kumuoa? Umebaini changamoto gani ambazo zimekupa shaka? Je, ni hofu tu kwa vile ni binti wa kitaa?
Shida anakula koni balaa
 
Ni kweli kabisa,hiyo mimi imenikuta zaidi ya mara 10 na kuna wakati nilikuwa nawatafuta sana,wanawake wauza mbogamboga,wauza mahindi ya kuchoma,wadada wa kwa mama ntilie,ni watamu,wana heshima sana na wanajisalimisha kwa mwanaume wawapo kitandani.Yupo mdada mmoja nilimpata nyakato national mwanza,she was amazing kitandani,ni mtu mwenye heshima na adabu sana.Alikuwa na kibanda cha mama ntilie chake na alikuwa mtamu acha tu.Basi kwa kumlipa mazuri yake,nilimuuliza je nikufanyie nini? maana alikuwa haombi pesa kabisa.Alikuwa ananiita baba,alinijibu baba mimi sina kipato kikubwa,nisaidie utakachoweza.
Basi nikamtengenezea kibanda kizuri cha mama ntilie,nikamnunulia vyombo vya kupikia na kupakulia,nikamshonea sare na kumuongezea watumishi 2.Nikamlipia nyumba kwa miaka 2 na nikamuunganusha kwenye ofisi mmoja.Tuliendelea nae miaka 3 then alipata mume na tuliagana nae kwa amani na salama na hadi leo yupo na mumewe na wamepiga hatua kubwa na sasa ana drive.Jamani hawa wanawake wa kawaida wasio na makuu ni watamu mno na wapo well mannared
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…