Sawa mkuu keep in touch !Zipo za kutosha mkuu
Hahahahaaaa umenena vyema....Ni lini serikali ya kichwa chako itatenga bajeti ya muda wa kutafuta pesa na siyo kujadili mapenzi?
Kazana janja 😅Hahaha Yalisha pita, nimeokoka sasa
Kazana janja
Kwahiyo umefinyiwa kwa ndani? 😹Hahahaha usiwaambie winga.
Hata wanaume wengine waliomla wanasema hvy hvyHahaha yule Hapana sijawahi mwona kama ni kicheche