Nimeangukia kwa single Mother

Nimeangukia kwa single Mother

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
673
Reaction score
1,915
Ndugu zangu,

Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.

Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.

Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.

NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
 
Ndugu zangu
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu ana fanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3,huyu dogo asaivi ana 6 yupo kwa bibi ake na huyo baba ake yupo kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu.

Nb;Huyu dada sio mtanzania ni mkenya wa mombasa.
Screenshot_20230429-202010~2.png
 
Kwanini vitoto vya kiume vya miaka ya 2000 na mwishoni mwa miaka ya 90 havinaga misimamo, na ni rahisi kuwa manipulated haraka ndani ya miezi mitatu umeona wife material eti baba wa mtoto iko Kenya stupid.......wanawake wanapenda wanaume wajinga wajinga kama wewe hapo habanduki
 
Kwanini vitoto vya kiume vya miaka ya 2000 na mwishoni mwa miaka ya 90 havinaga misimamo, na ni rahisi kua manipulated haraka ndani ya miazi mitatu umeona wife material eti baba wa mtoto iko Kenya stupid.......wanawake wanapenda wanaume wajingawajinga kama wewe hapo habanduki
Muhimu heshima na mapenzi ya kweli unaweza oa asiezaa ila akawa ni tabu tupu. Pia angalia sababu za kuachana na huyo mtu wake.
 
Kwisha habari yako , Single Mother hutakiwi sio kuoa tu,hata kudate nae mwiko,,kimbia haraka sana,hiyo ni red flag nyeupe kabisa hiitaji discussion
dah sio hivyo kaka huyu yupo tofauti
 
Back
Top Bottom