Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata angekuwa bara la Asia kikao hakitambui hayo, kikao kinatambua kaburi aka tuta😁Hahahahahah😀😀 mzazi mwenzie yupo Kenya na kashaoa tayaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata angekuwa bara la Asia kikao hakitambui hayo, kikao kinatambua kaburi aka tuta😁Hahahahahah😀😀 mzazi mwenzie yupo Kenya na kashaoa tayaru
Maelezo hayo ni ya binti nnaemfahamu [emoji848], Anyways pengine ni taarifa zinazofanana tuNdugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu ana fanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo asaivi ana 6 yupo kwa bibi ake na huyo baba ake yupo kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio mtanzania ni mkenya wa mombasa.
AiseeHakuna singo maza atakuambia ameachana na aliyezaa nae juzi au jana au wiki au mwezi, atakuambia alizalishwa wakaachana mtoto akiwa na miez au mwaka... Hakuna singo maza atakuambia bado ana mawasiliano na baba mtoto... Hakuna singo maza ataonyesha madhaifu yake yaliyomfanya aachwe atayaficha ili umuamini she's perfect alionewa tu kuachwa...
The only thing you can do Mzalishe kama alivyo mzalisha mwanaume mwenzako then muache kama alivyo achwa...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Mbona mnanitisha sasa badala ya kunipa moyo kaka zanguHakuna singo maza atakuambia ameachana na aliyezaa nae juzi au jana au wiki au mwezi, atakuambia alizalishwa wakaachana mtoto akiwa na miez au mwaka... Hakuna singo maza atakuambia bado ana mawasiliano na baba mtoto... Hakuna singo maza ataonyesha madhaifu yake yaliyomfanya aachwe atayaficha ili umuamini she's perfect alionewa tu kuachwa...
The only thing you can do Mzalishe kama alivyo mzalisha mwanaume mwenzako then muache kama alivyo achwa...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Si ndio kizazi cha wanawake wasiojielewa ndio kilianza kutamalaki.Kwanini vitoto vya kiume vya miaka ya 2000 na mwishoni mwa miaka ya 90 havinaga misimamo, na ni rahisi kua manipulated haraka ndani ya miazi mitatu umeona wife material eti baba wa mtoto iko Kenya stupid.......wanawake wanapenda wanaume wajingawajinga kama wewe hapo habanduki
Tunakuelekeza unasema tunakutisha haya nenda sasa kwa single mother wako aendelee kukulevya halafu uingie kumi na nane zake akutoe kamasi.Mbona mnanitisha sasa badala ya kunipa moyo kaka zangu
Kwa namna nlivyomfahamu na mazingira yaliyofanya nkamfahamu nna uhakika jina aliongopa....( Catherine )Anaitwa nani
Dah maelezo ndio hayo kasoro jina huyu ni muislam ana lafudhi ya kimombasaKwa namna nlivyomfahamu na mazingira yaliyofanya nkamfahamu nna uhakika jina aliongopa....( Catherine )
Madai yake alikua anaishi Ilala bungoni
Ni mrefu kiasi hivi, sio mnene wala mwembamba sana...Ana mtoto na baba yake alidai anaishi Mombasa na hata yeye huwa anaenda na kurudi...Ana lafudhi ya watu wa Kenya japo sio rafudhi ile iliyozidii
Kama ni hivyo me sina la kusema, Kuwa makini tu chief.Dah maelezo ndio hayo kasoro jina huyu ni muislam ana lafudhi ya kimombasa
Siku akimkumbuka mumewe ambaye ni baba ya mtoto wake na kumfuata huko Kenya, plz usirudi hapa kuja kuomba ushauri.Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Sasa kama umeshaamua kuoa humu JF umeleta kuomba ushauri au kuturingishia huyo mamaNdugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.
Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.
Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.
NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.