Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Riba ni kubwa sana mkuu! Unao wakopesha wanawezaje kurejesha riba kubwa hivo?
At least 100000 kwa 30k kwa mwezi
 
Ukitaka ufanikiwe hii biashara ya kukopesha especially watu wasio na kipato cha uhakika weka muda mrefu wa marejesho, say kuanzia, mwezi m'moja, miwili, mitatu, minne, tano, sita, kumi na mbili, 24.

Halafu usitumie reducing balance method kwasababu itakula faida yako.

Kajisajiri upewe kibali cha BOT ili uwe halali kisheria na hii itakupa uwezo wa kudai madeni, halafu kaulizie bima kama unaweza pata ili uweze kupewa cover ya risk za wadawa chechefu.

So mfano unasema mtu akikopa 10,000 kwa mwezi atalipia 2,000 yaani asilimia 20 ya deni. Akiongeza miezi 6 unaweza weka 30% kila mwezi. Miezi 12 unaweka 35% au 40% kila mwezi. Miezi 24 yaani miaka miwili unaweza weka 50%.

Hii nakupa ni kanuni ambayo huku mtaani wengi hawaijui na hawaitumii.

Masikini wanapenda kukaa na madeni, ukiwalazimisha kulipa mapema mnagombana na hatalipa kwa utaratibu. Ila masikini mpe deni la muda mrefu na riba kubwa atalipa kwa raha zote. Yaani mkope laki moja halafu alipie laki tatu au nne kwa miaka miwili haoni shida na atalipa vizuri tu.

Hizi mikopo zenu za kausha damu sijui fasta fasta haziendani kabisa na mazingira ya uchumi wa hawa wanyonge ambao wengi wana vipato vya mashaka.
 
Oga dawa
2,weka mfuatiliaji
3,usitoe mkopo bila poni(bondi)
4,akunakuchekea wateja kama biashara zingine
5,serikali lazima ikutambue ili isitokee shida
6,usikopeshe mtu ambaye ana kazi.
7,usipende kuongeza riba au faini kwa mtu aliye chelewesha rejesho
8,usicheke na wateja
9usicheke na wateja
10,usicheke na wateja
11,usicheke na wateja
12,usicheke na wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…