Nimeanza Breaking Bad, Tio anakera aisee.

Nimeanza Breaking Bad, Tio anakera aisee.

Hii series ilinilazimu hadi kuangalia word to word. Nilishangazwa mno na watu ambao wanaifananisha ubora na GOT.

Nilisikitika sanaaaaaaa.
 
Moja ya TV show ambayo naweza kuhakikishia inazidi kuwa nzuri unavyozidi kwenda mbele. Yaani huko season 2 na kuendelea ni moto wa kuotea mbali.
 
"If you've gone crazy i mean it,tell me if you have gone crazy because its affects me man
what!your like 60 and you decided to cook crystal meth!
Find the RV we start tommorow
 
Back
Top Bottom